Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,612
Huyu ni mpangaji mwenzangu, ameolewa nami nina mke, kwa siku kadhaa mke wangu ambae nampenda sana yuko likizo hivo kila nikurudi au napokuwa nafanyafanya vishughuli vya hapa nyumbani huchukua nguo na kuanza kufua huku akiwa ameelekeza kwangu wowo lake kama inavoonekana kwenye picha hii.
Sasa naombeni ushauri maana nahisi mwaka ujao huu sitaweza kuvumilia huu ujinga, lakini kabla ya yote naomba ushauri wako tafadhali.
Sasa naombeni ushauri maana nahisi mwaka ujao huu sitaweza kuvumilia huu ujinga, lakini kabla ya yote naomba ushauri wako tafadhali.