huyu dada ni vipi????

Smarty

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
776
426
assalaam aleykum wana jukwaa faida(jf). Ndugu zangu! jana nilienda bank kuweka vijisenti kidogo, kwenye foleni alinitangulia dada mmoja. Mi nikajua mteja wa bank kama kawaida. Alipofika dirishani nikaona katoa simu kampa bank teller ambaye ni wa kiume nikasikia anamwambia andika namba yako afu baadae tutaongee naona sasa hivi uko bize. Yule jamaa kaandika namba then akarudisha simu kwa mdada kisha yule dada akaondoka zake. Yule jamaa kuziua ikabidi atoke dirishani akarudi baada ya dakiki kadhaa. Huku nyuma tuliokuwa kwenye foleni watu gumzoooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hivi tu unaweza kupanga follen kisa upate namba ya simu tena foleni yenyewe ni ya NMB????. Ikabidi nianze kumfuatilia yule jamaaa kumbe naye ni dungadunga wa hatari. Kilichonifurahisha ni jinsi folleni ilivokuwa ndefu kumbe mtu anatafuta namba ya simu. Kupenda kubaya.
 
Hapo mkuu hamna ubaya. Asingekaa kwenye folen akaenda direct kwake apo ndo tatizo. Hatuwez kujua walikuwa na ishu gan. Kwa iyo tuache yaliyotokea hapo bank kama yalivyo.
 
hahhahha dada jasiri sana
nimependa hiyo..alishindwa kuvumilia
ya nini mateso bana wacha apange mstari roho ifurahi..lol
 
Sidhani kama ni kupenda hapo, hapo ni maslahi ama ya kuuza mwili au ujambazi, si mnajua siku hizi usawa hata girls ni majambazi.

Msichukulie simple, je kama ambaye angeenda kuchukua hiyo namba ya simu angekuwa mwanaume watu hapo benki wangehisi/wangepata picha gani!?
 
tatizo wewe akili yako umeweka kwenye ngono..
what if wanafahamiana kwa shida za kiofisi

na alihitaji namba kwa madhumuni hayo.....?

inawezekana amebuni njia ya kutopanga foleni tena hapo benki na huyo mkaka
ndie atakaemsaidia......
 
Raha kumjua mtu pale..ukifika unaenda tu huna haja ya kusubiri!Labda ndo anatengeneza mazingira hayo!
 
<p>
assalaam aleykum wana jukwaa faida(jf). Ndugu zangu! jana nilienda bank kuweka vijisenti kidogo, kwenye foleni alinitangulia dada mmoja. Mi nikajua mteja wa bank kama kawaida. Alipofika dirishani nikaona katoa simu kampa bank teller ambaye ni wa kiume nikasikia anamwambia andika namba yako afu baadae tutaongee naona sasa hivi uko bize. Yule jamaa kaandika namba then akarudisha simu kwa mdada kisha yule dada akaondoka zake. Yule jamaa kuziua ikabidi atoke dirishani akarudi baada ya dakiki kadhaa. Huku nyuma tuliokuwa kwenye foleni watu gumzoooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Hivi tu unaweza kupanga follen kisa upate namba ya simu tena foleni yenyewe ni ya NMB????. Ikabidi nianze kumfuatilia yule jamaaa kumbe naye ni dungadunga wa hatari. Kilichonifurahisha ni jinsi folleni ilivokuwa ndefu kumbe mtu anatafuta namba ya simu. Kupenda kubaya.
</p>
<p>&nbsp;</p>
 
Lakini kwa nini sote tunafikiria kuwa what is going on between them is love it it could be another business, huwezi jua haya ni maisha bwana na nafasi uliyoipata leo usitegemee kua itarudi tena siku nyengine,asi que hay que aprovechar,
buena suerte a todos.
 
hahaha! mwache demu wa watu! mwenzenu anataka kitu chake kimeze kitu cha jamaa! Ndio maisha...
 
Lakini kwa nini sote tunafikiria kuwa what is going on between them is love it it could be another business, huwezi jua haya ni maisha bwana na nafasi uliyoipata leo usitegemee kua itarudi tena siku nyengine,asi que hay que aprovechar,
buena suerte a todos.
Gracia
 
<p>
Raha kumjua mtu pale..ukifika unaenda tu huna haja ya kusubiri!Labda ndo anatengeneza mazingira hayo!
</p>
<p>&nbsp;</p>
wifi u ar very positive,ndo maana tunakuzimikia ukoo mzima.yaani hapa hata kwa tinga tinga hutoki!manake braza akirudi saa kumi alfajiri anasema foleni.
jamani huyo dada may be wanajuana na alipoteza namba yake.sasa kaichukua tu ili watafutane baadae muda ambao sio wa kazi!
 
Rem if u want something truly from your heart; you will get any how...Hata Mungu ukimtafuta utampata tu.........!!!
 
Sidhani kama ni kupenda hapo, hapo ni maslahi ama ya kuuza mwili au ujambazi, si mnajua siku hizi usawa hata girls ni majambazi.

Msichukulie simple, je kama ambaye angeenda kuchukua hiyo namba ya simu angekuwa mwanaume watu hapo benki wangehisi/wangepata picha gani!?

hili nalo neno, huu ni uhayawani tu,
sidhani kama ni ukichaa wa kupenda huu!!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom