Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,745
Nmeanza kudate naye miezi kadhaa sasa. Ni dada mzuri kwa sifa zote za uzuri na rangi yake ya usafi...she is beautiful. Shida kubwa.
ANAKOROMA. yaani akilala kidogo tu anaanza kukoroma. Usiku silali maana mimi mtu akikoroma nakereka sana.siwezi kulala hata kidogo.
Hata asubuhi itokee tumechelewa kuamka maybe amekuja ni weekend kalala kwangu saa tatu nne asubuhi anakoroma sana tu.
Sielewi nifanye nini au nimsaidiaje maana kwangu hili ni tatizo nawaza nikimwoa tutaweza lala pamoja kweli?maana kiukweli inafikia hatua sitamani aje kulala kwangu.maana napata kero kubwa sana.
Sipendi kulala na mtu anayekoroma kiukweli.nami huwa nikilala na mtu namwambia ikitokea nmekoroma aniamshe bila kusita.maana sipendi kukoroma ingawa sina tabia hiyo.
Sasa kwa huyu dada nifanye nini. Please siyo ushauri wa kuambiana nivumilie.siwezi coz maana yake sitakuwa nikilala kwa hiyo kero.kuna dawa za kusaidia mtu aache kukoroma?
Awe ana fanya mazoezi labda mwili ni mkubwa.
Vinginevyo Mpeleke hapo Muhimbili mkuu kitengo cha mifumo ya hewa, koromeo na masikio. Kuna tiba mbalimbali kuanzia ushauri hadi upasuaji.
Kupenda kuna gharama mkuu....

Huyo dada ni mnene au mwembamba?Nmeanza kudate naye miezi kadhaa sasa. Ni dada mzuri kwa sifa zote za uzuri na rangi yake ya usafi...she is beautiful. Shida kubwa.
ANAKOROMA. yaani akilala kidogo tu anaanza kukoroma. Usiku silali maana mimi mtu akikoroma nakereka sana.siwezi kulala hata kidogo.
Hata asubuhi itokee tumechelewa kuamka maybe amekuja ni weekend kalala kwangu saa tatu nne asubuhi anakoroma sana tu.
Sielewi nifanye nini au nimsaidiaje maana kwangu hili ni tatizo nawaza nikimwoa tutaweza lala pamoja kweli?maana kiukweli inafikia hatua sitamani aje kulala kwangu.maana napata kero kubwa sana.
Sipendi kulala na mtu anayekoroma kiukweli.nami huwa nikilala na mtu namwambia ikitokea nmekoroma aniamshe bila kusita.maana sipendi kukoroma ingawa sina tabia hiyo.
Sasa kwa huyu dada nifanye nini. Please siyo ushauri wa kuambiana nivumilie.siwezi coz maana yake sitakuwa nikilala kwa hiyo kero.kuna dawa za kusaidia mtu aache kukoroma?
weka picha yake na namba zake za simu nikushauriNmeanza kudate naye miezi kadhaa sasa. Ni dada mzuri kwa sifa zote za uzuri na rangi yake ya usafi...she is beautiful. Shida kubwa.
ANAKOROMA. yaani akilala kidogo tu anaanza kukoroma. Usiku silali maana mimi mtu akikoroma nakereka sana.siwezi kulala hata kidogo.
Hata asubuhi itokee tumechelewa kuamka maybe amekuja ni weekend kalala kwangu saa tatu nne asubuhi anakoroma sana tu.
Sielewi nifanye nini au nimsaidiaje maana kwangu hili ni tatizo nawaza nikimwoa tutaweza lala pamoja kweli?maana kiukweli inafikia hatua sitamani aje kulala kwangu.maana napata kero kubwa sana.
Sipendi kulala na mtu anayekoroma kiukweli.nami huwa nikilala na mtu namwambia ikitokea nmekoroma aniamshe bila kusita.maana sipendi kukoroma ingawa sina tabia hiyo.
Sasa kwa huyu dada nifanye nini. Please siyo ushauri wa kuambiana nivumilie.siwezi coz maana yake sitakuwa nikilala kwa hiyo kero.kuna dawa za kusaidia mtu aache kukoroma?
loving eyes can never see kijana hujapenda bado unamtamani tu huyo dada kwa uzuri wake mtu ukipenda mbona huko kukoroma utahisi nyimbo za celine dion,plus kama huwezi kabisa ungeshakuwa umejaribu kumtafutia dawa kabla hujaja kumwanika hapa
mwambie afanye mazoezi huenda ana uzito mkubwa au ana matatizo kwenye mfumonwake wa hewa.
Sent from my iPhone using JamiiForums