Huyu dada nashangaa hii confidence kaipata wapi?

Jahazi limeanza kuzamaa...mabaharia wamevua zana katikatia ya mechi[emoji23][emoji23]
Halaf kitu kimoja nimeshangaa..mbona ilikua ina trend kwenye 5k lakin muda huu inasoma 4k..
What is happening??
 
Aisee, kama nakuona ulivokua unashangaa moyoni[emoji3] , ila wengine ni wachangamfu mpaka wamezidi kumshobokea mtu usiyemfahamu hivo vipii
Ila kama mwanaume kuna kasehem moyoni kaliumia sana maana nilimkazia hata no sikumuomba, alikuwa na ile vijana wa siku hiz wanaita chura[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] nilijiona dhaifu sana ila nyuzi za ngoma zimenifanya nijipongeze kwa kuvuka kikwazo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaaa, huo ndo uanaume mkuu,kushinda majaribu(chura)[emoji3] ,je kama alikuchangamkia hivo wewe ikiwa hakufahamu ,nadhani huwa anawachangamkia wengine pia huyo, so hajatuliaa[emoji30]
 
Usipokula kimasihara utakuwa umetuangusha sana
 
Hahaaa, huo ndo uanaume mkuu,kushinda majaribu(chura)[emoji3] ,je kama alikuchangamkia hivo wewe ikiwa hakufahamu ,nadhani huwa anawachangamkia wengine pia huyo, so hajatuliaa[emoji30]
Wanaume tunashida kweli[emoji1][emoji1][emoji1] sometimes unajua kabisa hauko salama ila unaamua kua kama kondoo anaepelekwa machinjioni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…