Huyu dada nashangaa hii confidence kaipata wapi?

Gamboshi radio si ya kuchukua kutoka kwa mwenyekiti, hua zinatoa sauti kutoka kwny transformer direct.
Mwambie Katibu Tarafa akusomee hiki ulichoandika. Elimu bure jiunge MEMKWA
 
Mara tutasikia ya tunda kimasihara...
 
"Abiria chunga mzigo wako".Sasa mizigo mingine hata ukisafir nayo huwa inakaa kwenye buti na huwez kuikagua kama hushuki mwisho wa safar..sijui unachungaje hapo..
Inabid uwe mpole tu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,mizigo ya kwenye butii, wangu ntakaa nao ndani hamna kuwekwa kweye buti , yaani nasafiri naye everywhere aisee ,sitaki mambo ya vidada kulalia mapaja ya watu[emoji3] [emoji3]
 

na kukulalia kote na kumnunulia chakula halafu uchukue namba tuuu!!!
hapo inatakiwa umalize kabisa!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,mizigo ya kwenye butii, wangu ntakaa nao ndani hamna kuwekwa kweye buti , yaani nasafiri naye everywhere aisee ,sitaki mambo ya vidada kulalia mapaja ya watu[emoji3] [emoji3]
Ahahahahah..Haya mkuu.All the best. Ila si unajua bora "wali maharage" kuliko "walimwengu"?
 
Na lazima alinasa mtegoni huyu[emoji3] ,mazoea ya kijinga hivo eti safari, sitoruhusu mume wangu asafiri mwenyewe mimi[emoji3] [emoji3] kama mambo ndyo hivi humo safarinii
Last week nilipata tukio kama la mleta mada, yani binti hatufahamiani lakini mazoea mengi na aliomba kubadili siti akae na mimi[emoji1][emoji1][emoji1]. Kama ningeingia mtegoni na hizi nyuzi za leo lazima ninge uninstall app ya jf kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ohooo, inakuaje mtu mpaka anakuletea mazoea ya hivo aisee, ungejutaa[emoji3] [emoji3]
 
Kwa jinsi nilivyo kauzu watu wa hivyo hua nawaona kama wana agenda za siri[emoji23][emoji23][emoji23] unaweza bebeshwa mizigo usiyoitegemea .
Aisee, kama nakuona ulivokua unashangaa moyoni[emoji3] , ila wengine ni wachangamfu mpaka wamezidi kumshobokea mtu usiyemfahamu hivo vipii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…