financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,520
Na lazima alinasa mtegoni huyu[emoji3] ,mazoea ya kijinga hivo eti safari, sitoruhusu mume wangu asafiri mwenyewe mimi[emoji3] [emoji3] kama mambo ndyo hivi humo safariniiHii sio tu ni free lunch bali ni mtego wa panya
unazani hakuna.wanawake vichaa wazuri alikuwepo Catherine mzuri balaa Ila ni mwehu na anavaa kuendana na wakati wageni kitaa wamejipigiaga sana tu.Kama kichwa cha habari hapo juu nipo safarini ni mwendo mrefu kweli inmekaa seat moja na binti mmoja mzuri kiwastani sasa tumekuwa tunapiga story za hapa na pale mara akaanza kusinzia nami nkaona isiwe shida mbona anaangaika mara kwenye bamz anastuka nkamwambia emu lala hapa mapajani kwa kwangu
Ameanza kwa kunionea huruma mara ooh mm kichwa changu kizito ila baadae naona kashuka mwenyewe.
Tulivyofika mkoa flani hivi stend akaamuka nkajua hatolala tena.
Mara paa naona ananilalia tena mwenyewe tena kaweka na sweta kabisa namsikilizia anaota. Mwanzoni nilihisi net work inaweza kuanza serch lakini naona nme reluxy.
Hapa nafikiria tukishuka kula nimnulie na msosi tukifka tu mwisho wa safari nchukue na namba.
Ni kwa nia njema tyu wadau haijawahi nikuta hii.
Uko kwenye palizi na simu? Acha komedi mlugaluga wewe'TYU'?
Wanaume wa dar kama dada zao vile,wanaume wa mkoani tuko kwny palizi.
Sawa dada nyamiti.Uko kwenye palizi na simu? Acha komedi mlugaluga wewe
Naona unapata notification fasta. Mtendaji kaiacha on hotspot nini?Sawa dada nyamiti.
Kaiacha iko inachakata utumbo mpana.Naona unapata notification fasta. Mtendaji kaiacha on hotspot nini?
Magufuli anavyogoma kugawa chakula cha bure safi sana. Mida ya shamba unashika simu unachati, piga jembe chakula cha msaada hakunaKaiacha iko inachakata utumbo mpana.
Magufuli anavyogoma kugawa chakula cha bure safi sana. Mida ya shamba unashika simu unachati, piga jembe chakula cha msaada hakuna
Ahahahahahahahah.Ndio matatizo ya kusafiri huku umefeli uliko toka
Tyuu..'TYU'?
Wanaume wa dar kama dada zao vile,wanaume wa mkoani tuko kwny palizi.
Ahahahha..mkuu kumbe tuko pamoja kule..sijaona hata "like" yako moja kule wala "ushuhuda"Ukishamkula huyo uende kule kwenye Uzi wa mabaharia wanaokula tunda kimasihara ukatoe mrejesho
Unapata na muda wa kusikiliza hip hop mizimu ya kijiji chenu imekubali? Na huyo bwana Afya alikubali redio yake uishike?Sawasawa.
Jo Makini kwny wimbo wake wa Mchele ameimba'Tunawalisha sana ndo bado mnakuuuunya'.
Mchele mchele mchele
Hakika kamanda rikiboy anaongoza vyema kabisa lile jahazi.scientificall, Cc wazee wa kula tunda kimasihara chini ya Mwenyekiti rikiboy
Kudadeki ule uzi una link kila thread...Hapo najua kinachokutia ujasiri ni zile shuhuda za KULA TUNDA KIMASIHARA.
hahahaha take care mkuu
Gamboshi radio si ya kuchukua kutoka kwa mwenyekiti, hua zinatoa sauti kutoka kwny transformer direct.Unapata na muda wa kusikiliza hip hop mizimu ya kijiji chenu imekubali? Na huyo bwana Afya alikubali redio yake uishike?
"Abiria chunga mzigo wako".Sasa mizigo mingine hata ukisafir nayo huwa inakaa kwenye buti na huwez kuikagua kama hushuki mwisho wa safar..sijui unachungaje hapo..Na lazima alinasa mtegoni huyu[emoji3] ,mazoea ya kijinga hivo eti safari, sitoruhusu mume wangu asafiri mwenyewe mimi[emoji3] [emoji3] kama mambo ndyo hivi humo safarinii