Huyu dada nashangaa hii confidence kaipata wapi?

Umesema haijawahi kukuta! Yaani hapo kuna haja ya kuchukua namba tena,au unalala kwa shemeji nini?
 
Siku ukisafiri na dume la huyo demu mhadithie jinsi demu wake alivyojilaza mapajani mwako utatujuza yatakayojiri
 
scientificall, Kama umempenda mwambie kwanza.
Kuchukua namba ni hatua ya mwisho kabisa baada ya yote.

Huyo tayari ni chakula safarini na mwisho wenu ni kuwa wapenzi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…