nlishakuja mkuu
Kuna watu wananitishia baada ya mimi kutangaza nia. Tuko na Jerrymsigwa njooni huku tumalize huu ubishi maana amu keshatoka kuomba Mungu amfunulie mume wa ukweli.!!
Eh msaidie jamaa
eee vidole vinauma
Hata mwaka mzima mi ntasubiri tu! Sitaweza kuvumilia kukukosa. Mtima wangu utaumia sana jamanii, we nionee huruma tu! I need you kwa kweli!
Aisee bado...
eee vidole vinauma