Huwa nikisoma coment zake moyo wangu unalipuka, paaa! Nikizitafakari huwa nafikiria namna na yeye alivyo kiundani. Huwa nahisi ni mtu mwenye busara na hekima ambayo wengi wamekosa siku hizi. Akiweka na utani huwa naishia kucheka peke yangu. Huwa natamani kumgongea like kila comment yake lakini kamchina kangu hakawezi. Nimefuatilia thread na comment zake nahisi bado yuko ON! Mwaka huu najilipua. amu hii ni kwa ajili yako, hakuna mwingine!
Usiku wote huu haujalala?hivi mmiliki halali wa amu ni nani vile?
Huwa nikisoma coment zake moyo wangu unalipuka, paaa! Nikizitafakari huwa nafikiria namna na yeye alivyo kiundani. Huwa nahisi ni mtu mwenye busara na hekima ambayo wengi wamekosa siku hizi. Akiweka na utani huwa naishia kucheka peke yangu. Huwa natamani kumgongea like kila comment yake lakini kamchina kangu hakawezi. Nimefuatilia thread na comment zake nahisi bado yuko ON! Mwaka huu najilipua. amu hii ni kwa ajili yako, hakuna mwingine!
Sasa huu ushindani mi naona ushakuwa mwingi... Mkuu Jerrymsigwa mi naona nikuachie tu maana amu mwenyewe kapiga kimya...
We humpendi, mbona alitangaza anasaka mume we ulikuwa wapi? Hauko serious mkuu, jaribu mwingine
Huwa nahisi ni mtu mwenye busara na hekima !