Huyu dada kanifedhehesha sana!

Huyu dada kanifedhehesha sana!

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
35,750
Reaction score
86,386
Jana ameufanya uanaume wangu uwe mnyonge sana mbele yake!, na hapa sasahivi najiuliza huu ujasiri ni wakwake pekee ama kuna wengine pia mpo kama yeye!..?

Ni mdada fulani hivi mweupe, figure no 8 huku nyuma baraka zipo na mbele pia zipo, kiufupi ni mzuri kama malaika!.
Ikiwa ni mida ya saa mbili usiku akanifata kwa ujasiri usio na shaka si akaanza kurusha mistari!, abadani niliingiwa na wasi maana hakuwa akipepesa hata macho yake dhidi ya macho yangu!, yani hata tone la haya hakuwanalo.. alizungumza mambo kibao na kila hoja niliyoileta ilijibiwa kwa ustadi ni kama vile alikuwa amejipanga yupo full mass nondo.

Nilibaki nimeganda nisielewe chakusema, shababi la malavidav jana nilipatikana!. Si kwa kuimbishwa kule ilifika hatua mpaka tumzimu twangu tukawa tunachezacheza kuonyesha kuzidiwa!.
Ilifika muda nikaanza kumuhisi vibaya labda katumwa anataka niingie mkenge nitolewe password!.
Nishazoea mwanamke ni kiumbe chenye aibu na hata kama akijitahidi kukutongoza basi hatotumia ana kwa ana!, sasa huyu kapita hata hiyo ana kwa ana ni Man to man!.

Ndio ni haki yake kuelezea hisia zake, lakini kwa namna aliyoitumia ndugu zanguni ipo haja yakubadili mitazamo juu ya hawa viumbe!.. mtu anakurushia mistari mpaka anakuambia "kesho uje ghetto!" mi nijuavyo mwanamke akiwa anaishi peke yake hilo sio ghetto ni chumba, ghetto ni la masela tu!.
Hakuishia hapo akanichapa na busu la mdomo nikiwa katika hali ya mshangao!, akiwa kaisoma hali yangu ya mtanziko akachukua simu yangu akaweka no zake na akajipigia!.

Mambo kama hayo nishazoea mimi ndo nawafanyia wadada lakini leo mdada ndo ananifanyia hivyo mimi!, hii ndio inaitwa "Malipo ni hapahapa duniani!".
Ama kweli dunia imevaa dera!.

Sasa kwa hali hii najiuliza ni kwamba soko limebadilika huko, ama password za mapenzi zimebadilishwa au system imechanganyikiwa!.
Mimi kusema kweli sitaweza kumkubalia kanitisha na vingi ninahofu na mengi bado!, hata kama ni shababi la malavidav ila kwa hili hapana kuna muda mtu unatakiwa unashika clutch, unakanyaga breki unamalizia na hand breki halafu unatunza kizazi vizuri unafunika kombe mwanaharamu apite!.
 
IMG-20250614-WA0162.jpg
 
Sio shemale huyo
 
Nenda gheto ukaliwe wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom