Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,599
Mkuu....anaendaje J.K.T wakati kamaliza mwaka Jana!?? Na tangazo LA J.K.T mwaka huu hawachukui form four wa mwaka Jana...AENDE J.K.T
AENDE KIDATO CHA TANO.Mkuu....anaendaje J.K.T wakati kamaliza mwaka Jana!?? Na tangazo LA J.K.T mwaka huu hawachukui form four wa mwaka Jana...
Au ume comment tuu ili ujaze server!??? Tena Na wewe upon active sana kwenye ule Uzi wa J.K.T...sasa nakushangaa unamposhauri aende J.K.T
Had I amefikia kiasi cha kusaka ajira...may be yawezekana kuwa hanq uwezo wa kwenda kidato cha tanoAENDE KIDATO CHA TANO.
Otherwise uwe unampigia Upatu mtu aliyefeli kama kweli amamaliza kidato cha nne na akafaulu namiini Atachaguliwa Serikalini kama hana Uwezo mimi nitamsomesha Form 5 na 6 aniletee Joining instruction tuu ya Shule ya Serikali aliyofaulu.Had I amefikia kiasi cha kusaka ajira...may be yawezekana kuwa hanq uwezo wa kwenda kidato cha tano
Heshima kitu cha bure ndugu yangu, usicomment ili mradi ID yako nayo ionekane iko activeWw kama huja ahidiwa K basi umeshamgegeda kwa ahadi utamtafutia kazi asiwe na wasi haaa Mtaani unajitunisha sana misuli eh
Heshima kitu cha bure ndugu yangu, usicomment ili mradi ID yako nayo ionekane iko active