KUNGURUHAFUGIKI
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 346
- 74
Habari wakuu natumaini hamjambo na ni wazima wote, huyu mwanamke siku nyingi ananisumbua nakumbuka mara ya kwanza tulikutanae supermarket, kwa muonekano alikuwa mrefu shingo kama ya twiga, mnene kiasi, chuchu sa sita, miguu ya bia , ana hipsi kiasi kwamba kila mwanaume amtazamaye anamtamani ,kwa kweli ni kwamba kila mwanamke unayemwona mzuri ni mara ya tatu yake hakika alikuwa amejaliwa.
Siku ya kwanza nilipomwona mlangoni supermarket nilipatwa na mshangao mkononi nilikuwa na mfuko niliokuwa nimebeba vyombo nilipomwona tu vikaanguka vyote mpaka mwenyewe akashtuka kisha akasimama akanipa pole na kunisaidia kuokota mfuko wangu, nikamshukuru na kisha akaendelea kuingia ndani nilibaki mdomo wazi huku shingo yangu ikiwa inazunguka na macho yakimuangalia jinsi alivyobalikiwa, sio siri mdomo ulikuwa mzito kuongea nikabaki tu kuhamaki , nikajikuta sauti nyembamba ya unyenyekevu ikitoka mdomoni mwangu na kumwambia
samahani dada twaweza ongea.
Akasimama na kusema sawa usijali nikamueleza ya moyoni akakataa kata kata sio siri jibu laki lilininyima raha nikaondoka nikiwa mnyonge sana ,nimefika getto na mawazo sikuweza kula siku ile zaidi ya kunywa maji, kesho yake niliamka na kuendelea kufanya shughuli zangu za kila siku na kukubali matokeo, zikapita wiki mbili bila kumwona yeye mawazo na taswira yake zikanijia na kuanza kumkumbuka tena.
Usiku nikiwa nimejipumzisha nikackia mlangu ukigongwa baada ya kufungua nikashangaa kumwona tukasalimiana nae na kumuuliza amepajuaje pale na kuniambia yeye na mimi tuko mtaa mmoja na ni mgeni hapo yeye mwenyeji wa Tanga na yuko kwa dada yake na amekujua kwangu kwakuwa ameniulizia jina langu na amekuwa akiniona mara kwa mara mtaa huu.
Kisha akaniambia John usiniulize maswali mengi, na kusita kidogo kisha akaongea kwa kigugumizi nimeshindwa kulala peke yangu.
ILE KUSHITUKA KUMBE NILIKUWA NAOTA NDOTO WAKUU.