Uzuri wa mtu uko machoni sijui kwanini namuonaga mbaya mie nampenda anzani halafu scandal haina wadada warembo kivile.Kina dintle atleast warembo ila thambeka yeye kwa matukio tu hajambo
Ndio huyu au..!? View attachment 415010 Kama ndiye...
Huyu sio mwanamke wa kawaida...
Ni SIRAHA hii..!
Akikugonga na kiwiko chake huyu mwanamama hauwezi kupona..!

Dah kelvin anataka kufanya nini tena?? Naombeni mniwekee link yenye thread ya isidingo...ila episode ya leo iko poa sana hasa mwishoni...dah katlego bana kweli nimeamini wanawake hawapend ukali
..
anavaa uhusika anapoact...anapendeza most of the time... akilia you can feel it...akiwa na furaha you can see it.
hawa wanaomsema vibaya they judged her wrongly