Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,000
- 61,852
anasita sita ndugu yetuYaani mtu anakutega wewe unampangia mistari?
Anafeli. Wakati siku hizi ukimwi inauzwa bei cheeanasita sita ndugu yetu
Zigo zigo kweli πUmelimind futa sio
Angalia usije omba maji ikawa shida
Mungu yupo kwa ajili yetu, anatulinda kila siku πKapime HIV kwanza alafu uvae mpira sio badae uanze kusumbua madaktari wetu mara ooh naona kama majmaji mazito yanatoka
Kwa alivyoumbika na anavyocheza, ngoja nipambane naye tu hakuna namna πDo you like what you see..? π
utapata U.T.I kalii kuwa makini
utatupa mlejesho, yaliyomo yamoKwa alivyoumbika na anavyocheza, ngoja nipambane naye tu hakuna namna π
Ngoja kwanza niongeze ujasiri kwa kupiga glass tatuYaani mtu anakutega wewe unampangia mistari?
Maisha ni haya haya, lazima kufikisha miaka 90Pachaaa π
Ntakuzabuaa Sasaπ π
We si uko dom πKumbe umeniona....karibu mezani kwangu Equation x
Kinga zipo, vipimo vipo; kuleni maisha, acheni kujifarijiAnafeli. Wakati siku hizi ukimwi inauzwa bei chee
Sawa mkuu, hakuna shidautatupa mlejesho, yaliyomo yamo