1. Kuvaa hivyo si lazima uwe muislam.
2. Hakuna ushahidi kwamba huyu ni mke wa mtu.
3. Hata kama ni mke wa mtu hatujui pengine anamsubiri mumewe.
4. Hata kama ni mke wa mtu na hamsubiri mumewe hatujui kwamba anamsubiri mtu
5. Hata kama ni mke wa mtu na anamsubiri mtu hatujui kama anamsubiri mtu kwa uasherati.
6. Hata kama anamsubiri mtu kwa uasherati hatujui kama anafanya hivyo bila idhini ya mumewe.
7. Hata kama anamsubiri mtu kwa uasherati na kufanya hivyo bila ya idhini ya mumewe hatujui historia yao na kilichopelekea hilo.
So much for the religious zealots!