Zinja2017 Member Joined Sep 30, 2017 Posts 50 Reaction score 18 Jan 29, 2018 #21 We uliyokalibu mpe msada
al1983 JF-Expert Member Joined Jun 6, 2009 Posts 328 Reaction score 376 Jan 29, 2018 #22 Kwa kuwa umesema hauko tayari kumsaidia. Mwambie ili ajue cha kufanya. Usimpotezee muda, mwenzio anaumwa
Kwa kuwa umesema hauko tayari kumsaidia. Mwambie ili ajue cha kufanya. Usimpotezee muda, mwenzio anaumwa
Renegade Platinum Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,852 Reaction score 8,361 Jan 29, 2018 Thread starter #23 Promethazine said: Angalia unaingia kwenye mtego Click to expand... Kwa kweli hata mimi nimemshtukia.
Promethazine said: Angalia unaingia kwenye mtego Click to expand... Kwa kweli hata mimi nimemshtukia.
Renegade Platinum Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,852 Reaction score 8,361 Jan 29, 2018 Thread starter #24 Slim5 said: "Mara ya mwisho ni lini ulifanya mapenzi" anasema akamwambia daktari ni miaka mitano iliyopita!! Mh nikaguna tu sikusema kitu, nikagundua kuwa anahitaji msaada na mimi siko tayari. Wewe na yeye, nyote mnahitaji Msaada, Mkuu! Click to expand... Hapana mimi napata msaada kila siku.
Slim5 said: "Mara ya mwisho ni lini ulifanya mapenzi" anasema akamwambia daktari ni miaka mitano iliyopita!! Mh nikaguna tu sikusema kitu, nikagundua kuwa anahitaji msaada na mimi siko tayari. Wewe na yeye, nyote mnahitaji Msaada, Mkuu! Click to expand... Hapana mimi napata msaada kila siku.