Huyu Chura wa aina gani?

Chura wa bwawa la kihansi bila shaka
 
Huyo ni kama yule wa kwenye apocalipto ana sumu hatari
 
Chura wa Jangwani Hugo.

Nyanidume, Mkuu wa manyani. Msituni ndiyo maskani.
 
Wanaitwa Kimbofa huwa wanatembea kama mjusi tu hawarushi rushi matterqo.
 
Nimeshawaona mara kadhaa, ila kuna hili ua nimeliona huku kigamboni, liko moja tu kigamboni nzima, linaitwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…