Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,140
- 1,982
Heshima,
Kuna wakati CCM ilinuia kujikoboa gamba ili iwe mpya. Walitajwa watu wa kuondoka lakini hawakuondoka, angalau kwa kufukuzwa.
Watu walioitwa magamba ni Rostam Aziz, Edward Lowasa na Andrew Chenge. Lowasa na Rostam wameondoka. Amebaki Chenge, mbunge wa Bariadi Magharibi. Pamoja na kashfa nyingi, kuanzia Radar mpaka Escrow, hakuna aliyejaribu kumgusa Chenge, iwe polisi, Tume ya Maadili au TAKUKURU.
Kuna wakati walijaribu kumtingisha kuhusu documents alizosaini. Aliwaambia hivi, "Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu, sasa tatizo liko wapi?
Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye bosi huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za Umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign an agreement without a security".
Huyo ni Chenge aka Nyoka Mwenye Makengeza. Nina hakika atabaki salama.