Huyu CCM haimwezi, ni untouchable

Huyu CCM haimwezi, ni untouchable

1. KWANZA NI TOTO LA KINYAMWEZI (MTOTO WA MJINI)
2. AMESOMA VIZURI (LAW, HAVARD)

KIUFUPI HAKAMATIKI WALA HAADABIKI NA HAKUNA WA KUMUWEZA.

WENGI WALIOSHUGHULIKIWA HAWANA SIFA ZA CHENGE.

Majibu yake tu ni dose tosha.
Hahahah aliwabana mawakili was serikali pale tume ya maadili jamaa hawakumwita tena
 
Heshima,

Kuna wakati CCM ilinuia kujikoboa gamba ili iwe mpya. Walitajwa watu wa kuondoka lakini hawakuondoka, angalau kwa kufukuzwa.

Watu walioitwa magamba ni Rostam Aziz, Edward Lowasa na Andrew Chenge. Lowasa na Rostam wameondoka. Amebaki Chenge, mbunge wa Bariadi Magharibi. Pamoja na kashfa nyingi, kuanzia Radar mpaka Escrow, hakuna aliyejaribu kumgusa Chenge, iwe polisi, Tume ya Maadili au TAKUKURU.

Kuna wakati walijaribu kumtingisha kuhusu documents alizosaini. Aliwaambia hivi, "Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu, sasa tatizo liko wapi?
Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye bosi huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za Umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign an agreement without a security".
Huyo ni Chenge aka Nyoka Mwenye Makengeza. Nina hakika atabaki salama.
Huyu njamaa inasemekana Level ya fani ya Sheria aliyofikia ndio maana wanamuogopa,
Unaweza ukamgusa ukaishia kulipa faini zisizolipika,
Ndio maana wanamuacha tu
 
"Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu, sasa tatizo liko wapi? Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye bosi huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za Umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign an agreement without a security".
Andrew Chenge

Swali: Je, Ni Nani aliwatuma hawa jamaa kutia saini mikataba ya kulitia hasara taifa? Nani alimtuma Solex kuuza nyumba za umma?
 
Mkuu naomba unisaidie...hivi akiambiwa athibitishe pasipo na shaka beyond reasonable doubt kuwa aliagizwa na mkubwa wake kusaini anaweza kufanya hivyo?kuna maandishi sehemu yoyote yakimwelekeza hivyo?je Yeye anayomamlaka ya kusaini au hana?
nitashukuru ukinisaidia kujibu hawa ili nielewe kuwa huyu nyoka wa makengeza hawezi kushatakiwa....
Kawaida kwenye utendaji wa serikali, kunakuwa na kikao cha baraza la mawaziri. Rais ni mwenyekiti. Akisaini executive order, nani atathubutu kukataa? Kumbuka Nyoka Mwenye Makengeza ni mzoefu sana kwenye utendaji unaohusu mikataba na utekelezaji wa maamuzi ya pamoja.
 
Mpaka akihama mwenyewe ndo wataanza kumrushia mayai viza

Mpaka ameitwa gamba bado hajarushiwa tu hayo mayai? Muda mwingine uwe na haya hata kwa nafsi yako mwenyewe, unajidanganya mpaka wewe mwenyewe?
 
KASHFA ZOTE ULIZOMPA NAAMINI UNAAMINI ZINAMKABILI ILA AKIHAMIA CHAGADEMA TU UTAMSAFISHA RASMI AU SIO?
Mtu husafika kwa sababu ya udhaifu wa Taasisi zinazosimamia maadili na utamaduni wa muda mrefu wa CCM kulindana.Ukiona mkubwa ameshtakiwa CCM ujue si mwenzao.

Ukiwa CCM wewe ni malaika, huguswi.Ukitoka tu, utakiona cha mtemakuni. Kwa Chenge, awe nje au ndani, hakuna wa kusema fyo!
 
"Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu, sasa tatizo liko wapi? Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye bosi huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za Umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign an agreement without a security".
Andrew Chenge

Swali: Je, Ni Nani aliwatuma hawa jamaa kutia saini mikataba ya kulitia hasara taifa? Nani alimtuma Solex kuuza nyumba za umma?
BWM, the man himself.
JMK, Mkwere man.
 
Mkuu naomba unisaidie...hivi akiambiwa athibitishe pasipo na shaka beyond reasonable doubt kuwa aliagizwa na mkubwa wake kusaini anaweza kufanya hivyo?kuna maandishi sehemu yoyote yakimwelekeza hivyo?je Yeye anayomamlaka ya kusaini au hana?
nitashukuru ukinisaidia kujibu hawa ili nielewe kuwa huyu nyoka wa makengeza hawezi kushatakiwa....
Haya maswali ulitakiwa ukamuulize Chenge
 
Boss Toosweet Nafikiri watu wengi wanachanganya hapa. Mfumo ndio unaozalisha Mafisadi na Ufisadi. Sio kinyume chake.

Pili, Ujinga na Maradhi na Umasikini nao unazalisha Ufisadi na Mafisadi hii ni according 2 Marehemu Mwalimu.

Sasa ukiunganisha point yangu ya 1 na 2 ndio unakuta Mtu anakubali tu ili mradi yeye apone au ashibe au mkono uende kinywani au watoto wale.

Heshima,

Kuna wakati CCM ilinuia kujikoboa gamba ili iwe mpya. Walitajwa watu wa kuondoka lakini hawakuondoka, angalau kwa kufukuzwa.

Watu walioitwa magamba ni Rostam Aziz, Edward Lowasa na Andrew Chenge. Lowasa na Rostam wameondoka. Amebaki Chenge, mbunge wa Bariadi Magharibi. Pamoja na kashfa nyingi, kuanzia Radar mpaka Escrow, hakuna aliyejaribu kumgusa Chenge, iwe polisi, Tume ya Maadili au TAKUKURU.

Kuna wakati walijaribu kumtingisha kuhusu documents alizosaini. Aliwaambia hivi, "Nilitia sahihi kweli kama ripoti inavyodai ila kwa maagizo ya boss wangu, sasa tatizo liko wapi?
Aliyetuagiza sisi kutia sahihi ndiye bosi huyo huyo aliyemwagiza yeye kuuza nyumba za Umma na kama ni kesi zinafanana. Am not stupid to sign an agreement without a security".
Huyo ni Chenge aka Nyoka Mwenye Makengeza. Nina hakika atabaki salama.
 
Mtu husafika kwa sababu ya udhaifu wa Taasisi zinazosimamia maadili na utamaduni wa muda mrefu wa CCM kulindana.Ukiona mkubwa ameshtakiwa CCM ujue si mwenzao.

Ukiwa CCM wewe ni malaika, huguswi.Ukitoka tu, utakiona cha mtemakuni. Kwa Chenge, awe nje au ndani, hakuna wa kusema fyo!
HATA AKIHAMIA CHAGADEMA NAKO WATAMSUJUDIA TU HAWAMUWEZI ZAID YA YOTE WATAAONA WAMEPATA LULU NA KUMFANYA AWE MGOMBEA WA URAISI 2020
 
Back
Top Bottom