Huyu Bwanamkubwa wa CCM Bandarini anamiliki Makampuni mangapi?

Huyu Bwanamkubwa wa CCM Bandarini anamiliki Makampuni mangapi?

Bavicha akili kama nyumbu,bilicanas kiingillio 10,000 hakuna risiti ya EFD wala hakuna anaehoji.mtanyooka tu
Tangu manguruwe ya ccm yavamie jukwaa hili na kulifanya la uvccm mada za kina zimepotea jukwaa limepoteza wateja poleni manguruwe hamuulizi mumejivika ujinga mkubwa nyie maharamia majizi mafisadi wakubwa mumejivika vilemba vya kuficha mabaya ndio maana munaumbuliwa na mtu wenu mwenyewe anathibitisha tuliyosema majizi nyie
 
Hakuna awezaye kujitoboa jicho kwa njiti ya kutibolea meno ati anatoa tongotongo. Wapo wasiofikiwa na ufagio. Kinana ni mmojapo



Dawa yake ni kuunda tume ya maadili isiyo na mipaka na ijumuishe watu toka upinzani, nchi hii siyo yake pekee kwanini ashindikane?!!
 
Na yeye pia hua anamiliki bandari kavu (ICD) ila ya kutokulipa kodi hayo sijui
 
TALL Transafrica Logistics limited yaaminika ni ya kwake. Na Meneja mkuu wa hii kampuni Robert Deware alishikwa na polisi na.meno yabtembo nyimbani kwake mbezibeach whitesands area sijajua kesi yake imeyeyukia wapi. #HAPAKAZITU
 
Hana meli na piaa ni mlip as ji mzuri wa kodi
 
Wanaofurushwa mpaka sasa ni wale wafanya biashara wanaokwepa kulipa ushuru, kama Kinana ana meli za biashara na analipa ushuru vizuri msimsumbue na kama kuna ushuru wa serikali andikeni ni upi, tafitini kwanza.

Hadi meno ya tembo yanalipiwa ushuru eti?
 
Back
Top Bottom