Huyu bwana ilikuwa kidogo tu awe mbunge nchi.

Sipati picha picha bungeni kama pangetosha ile kila akitoa hoja lazima aweke helohelo....:):):)
 
Watanzania tunatakiwa kubadilika...Tuchague viongozi /wabunge wasomi....Mbunge asipokuwa msomi atatuwakilisha vipi ktk mikataba mbali mbali, maandiko mbali mbali, ktk arguments za bungeni sababu unatakiwa uongee ukiwa na facts kisomi sio kuropoka bungeni.

Wabunge tunaowachagua wasiosoma matunda yake tutakayo yalea si mema...

pia tunatakiwa tusipende kuchagua saaana viongozi njaa...

Unafikiri mtu kama Kingwendu akiwa mbunge atakachofikiria kwanza akianza ubunge kitakuwa nini kama si kwanza aanze kujineemesha zile shida zote zitoke, kisha familia yake....Wananchi mtakuwa baadae saanaaaaaa kufikiriwa
Yale maandiko yanayoletwa yapitishwe na hati ya dharura sio? Uchambuzi gan wa kina unafanyika zaidi ya kusema ndiyooooooo
 
Watanzania tunatakiwa kubadilika...Tuchague viongozi /wabunge wasomi....Mbunge asipokuwa msomi atatuwakilisha vipi ktk mikataba mbali mbali, maandiko mbali mbali, ktk arguments za bungeni sababu unatakiwa uongee ukiwa na facts kisomi sio kuropoka bungeni.

Wabunge tunaowachagua wasiosoma matunda yake tutakayo yalea si mema...

pia tunatakiwa tusipende kuchagua saaana viongozi njaa...

Unafikiri mtu kama Kingwendu akiwa mbunge atakachofikiria kwanza akianza ubunge kitakuwa nini kama si kwanza aanze kujineemesha zile shida zote zitoke, kisha familia yake....Wananchi mtakuwa baadae saanaaaaaa kufikiriwa

Unazungumzia usomi kama wa Lipumba ama level hipi?
 
Mbona nyie mmempa Kibajaji (Livingstone Lusinde) kuwa mbunge?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tunatakiwa kubadilika...Tuchague viongozi /wabunge wasomi....Mbunge asipokuwa msomi atatuwakilisha vipi ktk mikataba mbali mbali, maandiko mbali mbali, ktk arguments za bungeni sababu unatakiwa uongee ukiwa na facts kisomi sio kuropoka bungeni.

Wabunge tunaowachagua wasiosoma matunda yake tutakayo yalea si mema...

pia tunatakiwa tusipende kuchagua saaana viongozi njaa...

Unafikiri mtu kama Kingwendu akiwa mbunge atakachofikiria kwanza akianza ubunge kitakuwa nini kama si kwanza aanze kujineemesha zile shida zote zitoke, kisha familia yake....Wananchi mtakuwa baadae saanaaaaaa kufikiriwa
Vipi kuhusu Chenge na Tibaijuka, nao sio wasomi?

- KANA -
 
Akija kukufikirieni wananchi itakua imebaki mwezi mmojaka katika miaka yake mitano ya ubuge by by imekula kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom