Huyu Bwana ati Anaagiza Usalama waniue!

Huyu Bwana ati Anaagiza Usalama waniue!

Tatizo Watu Wanajifanya Wanajificha, Ndio Maana Mimi Mtandaoni Naweka Jina Langu Live! Kama Namuudhi Mtu ajue Kabisa Ni Mimi. Hakujua Nikitaka Naweza Pata hata Jina la Bibi yake Mzaa Babu!
Hebu weka YouTube channel
 
Hebu weka YouTube channel
JF watafutilia Mbali hii Hoja, Wewe Kaitafute I have so many Videos, Nyingine Zitakuudhi pengine, Na Nyingine Unaweza Zipenda. Ila Mimi Sitafuti Kulazimisha Mtu akubaliane na Mimi
 
Ww ni mchaga ? Tuanzie hapo.. Usikute ww mmetofautiana kisiasa ww mchaga una support Chadema na huyo ni mchaga ana support CCM.. So kila mmoja anavutia kwake, bishaneni kwa hoja mnatishiana maisha ya nini,? Kwa mfano hoja yangu nilitaka kujua ww ni mchaga nani chadema? Na hapo sijakutukana wala kukutishia maisha nataka kujua tu.. Usije na mapovu lkn
My Friend Mimi Sijali Kabila La Mtu, Nilipokuwa Dar Nilikuwa Na Marafiki wa Karibu Mmo Mpaka mara nyingi wananitembelea Nyumbani kwangu, Wanalala na Kula, Sijawahi Kuwauliza Ni Makabila Gani. Nusu ya Macowarkers Niliowahi fanya Nao kazi Ukiniuliza Makabila Yao Siyajui. Huu Ukabila Tujiulize Umeanzia Awamu Hii Kwanini?
 
Mpumbavu akawekwe zanzibali. Uyi magu amekuwa mungu asitukanwe
 
achana nae huyo ..anaugonjwa wa kidele
 
Mpuuze tu hana sauti ya kusikika popote
 
Inawezekana nikawa sijaelewa, hebu elezea chanzo cha yy kufika hatua hyo ya kutafuta usalama wa nchi, weka maneno /matusi anayosema ulimtukana Rais ili binafsi niyapime uzito kisha nipate cha kukomenti kuhusiana na huyo anayetaka uuliwe.

Naishia hapa ili nisikose lakusema ushahidi ukija
Ingia YouTube mcsechi thobias marandu
 
Kuna Jamaa hapa anaagiza kwa Hasira sana Ati Usalama Waniue, Kwa Kuwa anachodhani Kuwa Usalama kazi yao Ni Kuua watu na Wanalipwa Kuzuia Viongozi wasipigwe. Haya Ndiyo Maneno yake, Na Nimeweka Picha na Jina Lake.


Harold Philemon
7 hours ago
"**** this GAY...! Hivi vyombo vya usalama vya hii nchi vinafanya kazi gani.? Rais anatukanwa hadharani hivi na pumbavu huyu mnaangalia? Iko wapi intelligence ya hii nchi? Dignity ya mtu tunayemwamini inashushwa kijinga hivi na mpumbavu mmoja and you are watching? SERIOUSLY? TCRA nanyie mpo? Dah im fed up kwakweli kwanini hali iwe hivi jamani nanyie mpo???? Mnatumia kodi zetu vibaya.. watu kama huyu anatakiwa afie hukohuko huku mtuletee mwili tu wa marehemu shwain huyu"

5894313470913074658
View attachment 735297
View attachment 735299
Yeye ndio anapaswa kufikishwa mahakamani kwa kutishia kuua Raia wa Jamhuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom