Huyu Bwana ati Anaagiza Usalama waniue!

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,805
Kuna Jamaa hapa anaagiza kwa Hasira sana Ati Usalama Waniue, Kwa Kuwa anachodhani Kuwa Usalama kazi yao Ni Kuua watu na Wanalipwa Kuzuia Viongozi wasipigwe. Haya Ndiyo Maneno yake, Na Nimeweka Picha na Jina Lake.

Harold Philemon
7 hours ago
"https://jamii.app/JFUserGuide this GAY...! Hivi vyombo vya usalama vya hii nchi vinafanya kazi gani.? Rais anatukanwa hadharani hivi na pumbavu huyu mnaangalia? Iko wapi intelligence ya hii nchi? Dignity ya mtu tunayemwamini inashushwa kijinga hivi na mpumbavu mmoja and you are watching? SERIOUSLY? TCRA nanyie mpo? Dah im fed up kwakweli kwanini hali iwe hivi jamani nanyie mpo???? Mnatumia kodi zetu vibaya.. watu kama huyu anatakiwa afie hukohuko huku mtuletee mwili tu wa marehemu shwain huyu"

5894313470913074658
Harold Philemon.jpeg

harold Philemon2.png
 
TCRA sasa wanajua nini yaani TCRA awanaga uchunguzi wanaofanya zaidi yakubamkia watu kesi.
 
Inawezekana nikawa sijaelewa, hebu elezea chanzo cha yy kufika hatua hyo ya kutafuta usalama wa nchi, weka maneno /matusi anayosema ulimtukana Rais ili binafsi niyapime uzito kisha nipate cha kukomenti kuhusiana na huyo anayetaka uuliwe.

Naishia hapa ili nisikose lakusema ushahidi ukija
 
Huyo asikushughulishe Mkuu, huyo ndio wale vjana ambao wanaitwa, Mtoto sirizki ndio wanakuwaga wanaongea upuuuzi. Uzuri umeweka picha yake hapa atapata mwenza wake atanyooka tu.
 
Kuna Jamaa hapa anaagiza kwa Hasira sana Ati Usalama Waniue, Kwa Kuwa anachodhani Kuwa Usalama kazi yao Ni Kuua watu na Wanalipwa Kuzuia Viongozi wasipigwe. Haya Ndiyo Maneno yake, Na Nimeweka Picha na Jina Lake.

Harold Philemon
7 hours ago
"**** this GAY...! Hivi vyombo vya usalama vya hii nchi vinafanya kazi gani.? Rais anatukanwa hadharani hivi na pumbavu huyu mnaangalia? Iko wapi intelligence ya hii nchi? Dignity ya mtu tunayemwamini inashushwa kijinga hivi na mpumbavu mmoja and you are watching? SERIOUSLY? TCRA nanyie mpo? Dah im fed up kwakweli kwanini hali iwe hivi jamani nanyie mpo???? Mnatumia kodi zetu vibaya.. watu kama huyu anatakiwa afie hukohuko huku mtuletee mwili tu wa marehemu shwain huyu"

5894313470913074658
View attachment 735297
View attachment 735299
Ukimuona mwanaume anavaa mashati ya kubana mwili sijui wanaita bodi suti ujuwe hapo mtoto si riziki huyo.

Mpuuze tu hana hadhi ya kujadiliwa hapa JF. We're too old for this.
 
Inawezekana nikawa sijaelewa, hebu elezea chanzo cha yy kufika hatua hyo ya kutafuta usalama wa nchi, weka maneno /matusi anayosema ulimtukana Rais ili binafsi niyapime uzito kisha nipate cha kukomenti kuhusiana na huyo anayetaka uuliwe.

Naishia hapa ili nisikose lakusema ushahidi ukija
Good, Huyu Alivisit Channel yangu Youtube, Ambapo Nilidebate Kuwa Rais Magufuli Hachukiwi au Kupingwa kwa Ujenzi wa Taifa au Kwa Mema. Nikaonyesha Mambo ambayo yanafanya wanaompinga Wampinge. Sasa Hakuwa na Hoja ya Kunichallenge, Najua saa Nyingine Presentation yangu Inakera kwa Kuwa napenda Kuongea Kama Nilichosema ni Final, Hiyo ndio style yangu. Wako wanaonitukana Matusi ya Nguoni, Nachofanya Nafuta zile Coment zenye Matusi yanayogusa Viungo vya South Kwa Butelezi. Ila Matusi Mengine Kama Mbwa Wewe, Mvuta Bangi wewe, Jinga wewe, Nawaacha wacomment. Na wapo wanaojibu kwa hoja. Ila hili limenionyesha Kuna Tatizo Kuwa ati Kulinda Usalama/Amani Ni Kuua Mpinzani au anayepinga. I dissagree!
 
Tatizo Watu Wanajifanya Wanajificha, Ndio Maana Mimi Mtandaoni Naweka Jina Langu Live! Kama Namuudhi Mtu ajue Kabisa Ni Mimi. Hakujua Nikitaka Naweza Pata hata Jina la Bibi yake Mzaa Babu!
 
Tatizo Watu Wanajifanya Wanajificha, Ndio Maana Mimi Mtandaoni Naweka Jina Langu Live! Kama Namuudhi Mtu ajue Kabisa Ni Mimi. Hakujua Nikitaka Naweza Pata hata Jina la Bibi yake Mzaa Babu!

Ww ni mchaga ? Tuanzie hapo.. Usikute ww mmetofautiana kisiasa ww mchaga una support Chadema na huyo ni mchaga ana support CCM.. So kila mmoja anavutia kwake, bishaneni kwa hoja mnatishiana maisha ya nini,? Kwa mfano hoja yangu nilitaka kujua ww ni mchaga nani chadema? Na hapo sijakutukana wala kukutishia maisha nataka kujua tu.. Usije na mapovu lkn
 
...marandu mpuuze huyo choko...ukimwangalia tu amekaa kibashite....cha msingi jina lake unalo....just keep it....in case somebody hurts you...utakua na pa kuanzia....na ikiwezekana mripoti kwa vyombo vya usalama huko USA...ili wawe na jina lake...maana prevention is better than cure....watu wamewahi kulalamika kufuatwa kwenye utawala huu na hawakusikilizwa...na matokeo yake wamedhuriwa....hivyo huyu choko anasema wakuue....they may just do so....
 
Kuna Jamaa hapa anaagiza kwa Hasira sana Ati Usalama Waniue, Kwa Kuwa anachodhani Kuwa Usalama kazi yao Ni Kuua watu na Wanalipwa Kuzuia Viongozi wasipigwe. Haya Ndiyo Maneno yake, Na Nimeweka Picha na Jina Lake.

Harold Philemon
7 hours ago
"**** this GAY...! Hivi vyombo vya usalama vya hii nchi vinafanya kazi gani.? Rais anatukanwa hadharani hivi na pumbavu huyu mnaangalia? Iko wapi intelligence ya hii nchi? Dignity ya mtu tunayemwamini inashushwa kijinga hivi na mpumbavu mmoja and you are watching? SERIOUSLY? TCRA nanyie mpo? Dah im fed up kwakweli kwanini hali iwe hivi jamani nanyie mpo???? Mnatumia kodi zetu vibaya.. watu kama huyu anatakiwa afie hukohuko huku mtuletee mwili tu wa marehemu shwain huyu"

5894313470913074658
View attachment 735297
View attachment 735299
Ubuntu !!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom