Huyu Binti wa Kipemba anahitaji nini kutoka kwangu??

nimeishia hapo ulipoandika binti wa kipemba.

naomba kukunasihii bwana mdogo kama wewe sio wa jamii hiyo achana nao.

tena km mpo darasani moja wew hama kabisa mkondo

utakuja kunishukuru

usitafute kushushwa busha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…