Huyu binti anataka nizae nae mtoto

Huyu binti anataka nizae nae mtoto

Kwa maelezo yako bado inaonekana huyo dem akikukazia utalegea tu!
Fungua macho kijana, huoni kama kitendo cha kumchelewesha dem wa kwanza ndo kinakufanya ushindwe kutoa maamuzi sahh.
Kama humuwezi huyu unayemwita mkali, basi endelea kulea bikra.

Just simple
 
Mapenzi ya kuanzia ukubwani yana changamoto nyingii!.
 
Bikira inamaana kubwa sana katika watu wawili wenye lengo la kuungana na kuwa mwili mmoja na nimeshajaribu kuwa na Bnt ambaye sio Bkr nikashindwa kabisa hayo mahusiano.
Ni kweli usemalo tuliache
 
Ujue shetani ni noma sana ana vimitego vingi mwanzo alikuambia ni mke wa mtu why akurudie tena stuka mkuu
 
Back
Top Bottom