Huyu binti anataka nizae nae mtoto

Huyu binti anataka nizae nae mtoto

Huyo mwanamke ana mission zake kichwani, hicho kichwa cha chini kitakuponza......
Daaah kweli kichwa cha chini ni shida ..maana huyu Girlfrnd wangu hataki kabisa kusikia habari za sex kwa sasa mpka niende kwao na nimuoe eti kisa ni bikira na nilijaribu kulala nae kweli alilia nkaona nimuache ndio mpk sasa hataki anasema ataumia..na ndoa anadai ni mpk 2018
 
Sasa na Bsc yako hapo kweli umeshindwa kumsoma dada kwa nini sasa anakutaka na jana alikuzingua??
Alafu unatenda kosa kubwa sana kulea bikra, ukipigwa kanzu na dume atayetambua huyo ni bikra utajuta! Katoe kwanza hiyo bikra dada akuchomelee kwenye kumbukumbu ya maisha yake yote!
 
Sasa na Bsc yako hapo kweli umeshindwa kumsoma dada kwa nini sasa anakutaka na jana alikuzingua??
Bsc niya class hapa naamin watu wanaexpirience ndio maana niona nilete na haya mambo ndio nimeanza
 
Daaah kweli kichwa cha chini ni shida ..maana huyu Girlfrnd wangu hataki kabisa kusikia habari za sex kwa sasa mpka niende kwao na nimuoe eti kisa ni bikira na nilijaribu kulala nae kweli alilia nkaona nimuache ndio mpk sasa hataki anasema ataumia..na ndoa anadai ni mpk 2018
Aache uboya nae, kwani huko ndoani ndo haitauma... Hadi 2018 utakua na wingu la kufa mtu
 
Bsc niya class hapa naamin watu wanaexpirience ndio maana niona nilete na haya mambo ndio nimeanza
Okei, cha msingi kwa mtazamo wangu baki na mpenzi wako, kiukweli ukishampa mtu mimba ndo gharama zinaanza, asikudanganye huyo kuwa hatokudumbua, malengo yako yatakwama! Baki na mpenzi wako wa sasa.
Alafu stori ya alikuwa na mme anasemaje sasa hivi?
 
Mkuu hata mimi ilinitokea hiyo tena mbaya zaidi mimi nilikuwa tayari nipo katika ndoa.Tena alidai nikimpa mimba wala hatanisumbua kuhusu mahitaji ya mtoto wala nini bahati nzuri nikapata safari ya kikazi sikuwa karibu naye kwa miezi kama 5 hivi.Niliporudi nikaskia tetesi kwa rafiki yangu mmoja hivi ambaye alikuwa anamjua kuwa tayari ameshatiwa mimba na mbaya zaidi aliyempa mimba pia alikuwa mume wa mtu. So alikuwa anamsumbua na anataka jamaa alale zamu kwake na kwa mke wake as if ameoa wake wawili.

My take kwako bro
Huyo atakuja kukusumbua sana na hatokuwa na raha ya ndoa ikitokea umempa huo ujauzito kweli mpotezee kama utashindwa usimgegede nyama kwa nyama ili kukwepa mtego wake na dhamira yake isije ikatimia akakuharibia malengo yako na huyo wife to be wako.
 
Daaah kweli kichwa cha chini ni shida ..maana huyu Girlfrnd wangu hataki kabisa kusikia habari za sex kwa sasa mpka niende kwao na nimuoe eti kisa ni bikira na nilijaribu kulala nae kweli alilia nkaona nimuache ndio mpk sasa hataki anasema ataumia..na ndoa anadai ni mpk 2018
Mkuu ushauri Umepewa Ila kuna is Swali kale hujakajibu...
Vipi Kuhusu mdada kusema yeye Ni Mke wa Mtu?
Je inakuwaje Ni Kweli?Tunataka kujifunza Kitu hapo Kwa Upande wa Pili Pia.
 
Huyo si umesema ni mke wa mtu? Mwanamke kabla hajakukubalia tayari kichwani mwake amesha panga plan A na B na zote haziwezi kufeli wee endelea kujiganda nae mwisho wa picha uta enjoy!
 
Ukiota choo usingizini ni mtego usikitumie.
 
Tupilia MBALI mm ninamchumba wangu aka token dada moja akawa amenipigia simu Kama kwa bahati mbaya vile kumbe Yule dada alikua ananiwinda long time , baada ya kumaliza simu aliyonipigia kwa makosa Kama kumbe maksudi nilinyamaza baadae nikawa napa ta SMS anataka kuchati na mm nikamwambia sawa, story mbalimbali zikaendelea, baadae nilikuja shituka kumbe ni dada mitan100 KUTOKA ninapo kaa, mmh nilishangaaa Ila si kuonyesha kwake
Baadae katika mazungumzo akaniuliza unamchumba nikamwambia ndio, akasema unampenda nikasema haswaa basi akasema sawa,
Siku kadhaa baadae NIKAONA anatuma SMS mpenzi wangu haa nikawa nashangaa anasema ananipenda nikasema nilishangaaa kwambia ninampenzi wangu, akanambia unadhani hachepuki nikasema Sijui akasema , anaomba niwe mpenzi wake kisirisiri
Nikakataa , SIKU moja aliniyu is SMS za mapenzii basi nikajaribu KUTUMIA namba NYINGINE na nikamwandikia whatsapp kwann unatuma SMS za mapenzii kwa mime wangu alitusha MATUSI na maneno ya ajabu sana NDIPO nilipo hitimisha KUWA hata Kama angekua mchepuko wangu kumbe angenigombanisha na mpenzi wangu na kuvunja mahusiano nimemweleza kwamba sitaki ujinga wake na sitaki kuwasilisha NAE na ninamchukia sana
SASA kabaki KITUma vi SMS namtesa nikamwambia Hana mzigo wangu Kama anaomba aweke Chini aende zake
 
Mkuu ushauri Umepewa Ila kuna is Swali kale hujakajibu...
Vipi Kuhusu mdada kusema yeye Ni Mke wa Mtu?
Je inakuwaje Ni Kweli?Tunataka kujifunza Kitu hapo Kwa Upande wa Pili Pia.
Ni jamaa tuu alikuwa nae so kwa madai yake anasema jamaa alikuwa na dharau sana ikabidi bnt apite kushoto so hawakudumu kwenye hayo mahusiano na inavyoonesha anataka mimba ili amuoneshe huyo jamaa kuwa bado watu wanamtaka
 
Binafs sijaona tatizo... Hata kama aliolewa.. kisa alikuwa na mume then walivoachana bas asianze kupenda tena honestly hatumtendei haki... Ana haki ya kupenda. Suala la mchumba wa jamaa kuwa ni bikra sio kigezo... Kigezo ni je moyo wako unataka kufanya maamuz gan... Hata huyo mpenz wake akimuoa tu anaweza kuwa kituko cha mwaka.. It's a matter of time. Binafs mm ni mtt wa nje kwenye family ya mama.. Sasa kiukwel tukianza kusema kuwa watt wa nje kulea ni kimbembe sidhan kama ni sahihi saaaana.... Kuna mtoto ndan ya ndoa ni kero tupu... Imagine my mum asingeamua kubeba ujauzito wangu au hata kuutoa with assumption tu kuwa ni mtoto wa nje.. Je Leo ningekuwa najua hata jf???? ???? Ladies and gentleman we must liberate our minds kwa kwel. Huyo dada usimhukumu huwez jua ameteseka vip na huyo mme wake.. Had kamwacha is not simple task. Let love each other. Hawa watoto wa nje ndo wamekuja kuwanyanyua kimaisha watoto wa ndan...
 
Acha tamaa,tamaa mbayaa.hakuna mwanamke msumbufu Wakat anajua n mimba yako...!
 
Ha ha ha anataka umtie mimba tu baaasi!..kijana huna mauzoefu na Hawa viumbe!...mwerevu zamani ashang'amua hapo...achana na huyo kicheche mkuu.
 
Huu mwandiko ni wa-mvulana huu kabisa, wanaume hatufanyagi hvi


Pili, demu anakwambia ni bikra na ww unaamin hvyo? Wakati wewe unalala mikono mapajan, huyo bikra wako analiwa huko...
 
Kwa jinsi ulivyomsifia huyu mdada inaonyesha nafsi yako imemshiba.

Itendee haki nafsi yako, then utupe mrejesho.
 
Back
Top Bottom