nyanda madirisha
JF-Expert Member
- Apr 1, 2019
- 440
- 787
Mkuu huduma natoa lkn nadhani hilo la kuonesha namhitaji sana ndo tatizo kiukweli ni tatzo kubwa sana yaani ananisumbua haswaa sijuii nimpotezee au sijuii nifanyeje alooUnaonesha umamhitaji Sana,
Afu humhudumii ipasavyo, Sasa Kageuza penzi Kama silaha ya majadiliano.
Ukiingia huo mtego UMEKWISHA[emoji4]
Narudia Tena, UMEKWISHA[emoji1]
Utelezi kaka naomba masaa 3 ndo napewa halafu naanza kuhesabiwa dakika mkuiUmeomba utelezi au ushirikiano au vyote kwa pamoja??
Amekususia yote bado unalalama namna gani we dogo alah
Ntafanyia kazi mkuu na tayari nishaanza kumchukia aieseeHebu fanya hili zoezi utakuja nishukuru,usimwombe papuchi Wala kuonyesha kama unataka sana mambo for 2 weeks,asipojilengesha umbararue,basi tena jua ananjemba ingine piga chini
Halafu katika ulimwengu wa texting..mwanaume hutakiwi ujieleze sana. Naona hapo demu akiandika neno moja , wewe jamaa unaandika maneno ishirini. Demu anakuona boya.