Huyu binti ananichanganya

hebu soma kijana achana na huyo demu atakupotezea muda tu kama kuoa muda bado sana subiri upate kazi ndio utafute mke. Nadhani hata huyo binti nae muda wa kuwaza kuolewa bado sana
sawa lakini kuwa na mwenza sio vibaya na kumchunguza
nani atakufaa sio mchezo
 
Kuna dada mmoja wa kilokole, tunasoma nae hapa chuoni, nimetokea kumpenda tena sana. Lakini huyu dada hanielewi kabisa, yeye mambo ya kidunia hajui hata kidogo. Mitandao ya kijamii huwezi kumkuta japo ana simu inayoweza kuaccess hiyo mitandao.

Valentine hajui hata maana yake nini, sio mtoto ni first year wa chuo kikubwa Tz. Ukweli nampenda na yeye alikuwa ashaanza kunizoea lakini sasa mtoto kabadilika hapendi kupokea simu yangu, hata sms zangu hajibu. Ukweli nampenda sio kwa ajili ya kumchezea ila anaonekana ana sifa ambazo napenda mke ambaye ntamuoa awe nazo.

Nifanyeje ili niweze kumpata huyu mlokole kama issue ya dini me ni mkatoliki.
Kama unataka kumpata subiri hadi utakapomuoa. Km kweli unampenda utamsubiri hadi umwoe vinginevyo utakuwa player ww.
 
du

uuuuuu ni shida
Okoka kwa muda!
nina mfano ya hai kabisa, jamaa yangu alibadili dini kabisa kuwa muislam, akafunga ndoa na baada ya muda akaachana na uislam na kumpiga marufuku mkewe wake kabisaaa, sasa hataki habari za uislamu nyumbani kwake, wanaishi vizuri
 
Wahenga walinena kuwa daima ndege wafananao huruka pamoja.....huwezi kumkuta njiwa kwenye kundi la kunguru.....

Maana ni kwamba ili muwe pamoja...iwe kama marafiki au wapenzi lazima kuwe vitu vinavyowaunganisha.....

Kwa jinsi unavyoeleza ni kuwa wewe na huyo binti kuna vingi vinavyowaweka mbali na ndio maana hampo karibu.....

Jaribu kujisogeza kwenye interest zake....na wewe utakuwa na nafasi kwenye maisha yake.....ni jambo linalochukua lakini ni rahisi kama ukiwa na nia......ya dhati......
 
"...Eti hajui mambo ya kidunia...."

Hajakuelewa tu au kuna jamaa yake anamfikisha amapotaka kwenye mahitaji ya kimwili na kadhalika.
 
Wahenga walinena kuwa daima ndege wafananao huruka pamoja.....huwezi kumkuta njiwa kwenye kundi la kunguru.....

Maana ni kwamba ili muwe pamoja...iwe kama marafiki au wapenzi lazima kuwe vitu vinavyowaunganisha.....

Kwa jinsi unavyoeleza ni kuwa wewe na huyo binti kuna vingi vinavyowaweka mbali na ndio maana hampo karibu.....

Jaribu kujisogeza kwenye interest zake....na wewe utakuwa na nafasi kwenye maisha yake.....ni jambo linalochukua lakini ni rahisi kama ukiwa na nia......ya dhati......
mkuu ulivyosema me naona ni kweli kabisa ntajitahid lakini kuwa na mpenzi wa kilokole lazima na wewe uokoke?
 
Probably anaku-ektia tu huyo! madem wengi (si wote) wa kilokole wanajua ku-act balaa! komaa nae then usishangae sana ukigundua si bikra na ana msururu wa dyudyu anazozihudumia.
Binafsi huwa siwaamini kabisa madem wafia dini.
 
Okoka kwa muda!
nina mfano ya hai kabisa, jamaa yangu alibadili dini kabisa kuwa muislam, akafunga ndoa na baada ya muda akaachana na uislam na kumpiga marufuku mkewe wake kabisaaa, sasa hataki habari za uislamu nyumbani kwake, wanaishi vizuri
ok thanks a lot
 
Duuuh ndoto Nazo mhimu kuota bora muendeele kukosa mikopo tu kama mwaka wa kwanza tu unatamani ndoa wakati nyumbani umetuaga unaenda kusoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom