The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 8,551
- 20,346
1
Inauma sana
Huyo Mama anaonesha enzi za Ukombozi kila Mwananchi alikuwa Mwanaharakati na kulikuwa na Umoja wa Kitaifa.
sawa ngoja tuone
Siku hizi asilimia kubwa mmebaki kuwa wanaharakati wa kubishana simba na yanga.Huyo Mama anaonesha enzi za Ukombozi kila Mwananchi alikuwa Mwanaharakati na kulikuwa na Umoja wa Kitaifa.
Wapumbavu sana CCMWatakuambia hiyo audio/picha mjongeo sio ya kwetu ni ya wakenya
Kamaliza kila kitu
YesKamaliza kila kitu
HahahaWatakuambia hiyo audio/picha mjongeo sio ya kwetu ni ya wakenya
Never ending TruthHuyu bibi ni mtabiri halisi hii video ni ya wakati wa uchaguzi 2015. Hadi leo maneno ya bibi yanaishi.
I LOVE THIS GRANDMA