Huyu BERLUSCONI kiboko

obama kamwangalia kwa jicho kali...yupo tayari kwa lolote hata tifu kutetea mali zake...hahaha.
 
Huyo mzee hata kama kigogo utakivisha sketi atakishughulikia tu, hapitwi.
Umenikumbusha nyimbo ya "Asumani...kila kipitacho Asumani hutamani".
 
obama amegundua berlusconi amemtamani mke wake hajafurahishwa na hilo, wataliano hasa wenye umri mkubwa wanapenda sana wanawake weusi
 
haaa af kakomaaa yani hataki mchezo mnnh ila mama bora kakataa mana jamaa ni mtaaata
 
Alishawahi kupelekewa bomu na masela wake alikuwa hajatoa protection fee (za kimafia), basi walinzi wakaligundua, wakamwambia mzee tunakukumbusha tu ile fee hujatoa!! Italy noumaaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…