Diplomasia ya nn dunia ya leo jamaa mjanja mjanja Mzee wa kuoa na kuachanamkubali sana hasa kwenye masuala ya diplOmasia na itifaki. alikuwa anafanya kazi wizara ya mambo ya Nje enzi za BM kisha akahamishiwa New York kipindi cha JK sasa hivi yupo Tz kama Rais wa Kituo cha Diplomasia na itifaki. CV yake sina ila najua ni ant-samia gang. Kijana mtiifu wa JK
Tokea lini amekuwa Balozi huko Dubai?Balozi wa Tanzania huko Dubai lakini muda mwingi anakuwepo Dar. Geti jeusi.
Rafiki yangu huyo balozi Omar, alitaka kupangisha kiwanja changu hapa mbezi beach, kwa miaka kadhaa ni balozi.Tokea lini amekuwa Balozi huko Dubai?
Balozi wa Dubai ni Yocoub Mohamed, acha kupenda ubishi.Rafiki yangu huyo balozi Omar, alitaka kupangisha kiwanja changu hapa mbezi beach, kwa miaka kadhaa ni balozi.
Omar hajawai kuwa balozi bali aliwahi kufanya kazi ubalozini kama watumishi wengine.Rafiki yangu huyo balozi Omar, alitaka kupangisha kiwanja changu hapa mbezi beach, kwa miaka kadhaa ni balozi.
Kwa hiyo hili jina balozi unaweza ukapewa hata km sio baloziOmar hajawai kuwa balozi bali aliwahi kufanya kazi ubalozini kama watumishi wengine.
Yeye mwenyewe aliniambia kwamba yupo hapa Tanzania lakini ni balozi kule Dubai, akaniambia anafundisha shule ya diplomasia, wakati huo hizi video zake hazijaanza kusambazwa instagram.Omar hajawai kuwa balozi bali aliwahi kufanya kazi ubalozini kama watumishi wengine.
Atakuwa amebadilishwa na Rais SSH lakini alishafanya kazi hiyo hiyo anayoifanya Yacoub.Balozi wa Dubai ni Yocoub Mohamed, acha kupenda ubishi.
Kuoa na kuacha sio tatizo. Je anachoongea ni kweli? je ni kweli ni mzoefu?? Uzoefu unambeba sana amekuwa Afisa wa Ubalozini pale New York kwa muda mrefu sana baada ya kufanya Pia Dubai na nchi nyingine Kadhaa. amekaa serikalini muda Mrefu sana wakati wa Serikali ya JK alikuwa mtu Muhimu sana kwake. hayo mambo binafsi ya zipu mbovu kila mwanaume anafanyaDiplomasia ya nn dunia ya leo jamaa mjanja mjanja Mzee wa kuoa na kuacha