Huyu baba mkwe simwelewi anataka Nini?

Dahh nimefanya kupitia threads zako nyingi nahisi una matatizo makubwa sana. Hugo mzee yupo right 100%. Huna tabia njema kwa mumeo na hata familia yake. Unaharakisha ndoa ili umuuzie kanya boya huyo msela.
 
Wewe tayari upo kwenye ndoa, unacho pigania ni sherehe .
 
Sasa wewe ndiyo mwanga, comments zoote zilopita hakuna aliyewaza ushirikina... Unaonekana wewe unaabudu sana ushirikina!
 
Sasa huo mwaka kesho si zimebaki siku 92 tu kuingia huo mwaka mpya hapo umechelewa kitu gani?
 
Tulieni au fanyeni wenyewe. Kupanga ni kuchagua.
Mzee anataka kuhakikisha mwanae anafanya maamuzi sahihi. Ukionesha uvumilivu na utii hatakuwa na shaka kamwe. Ni kipimo chako wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…