Angekuwa .........
Huyu jamaa mara ya kwanza kumuona ilikuwa miaka ya 2000 katikati kulikuwa na shughuli fulani RUCO ana mikwara ya kitoto na kujisikia kama amesahau nitakuja mkumbusha namnukuu "Nina uwezo wa kufukuza yeyote hapa,ingawa hapa si mahakamani lakini uwezo huo ninao....."mkuu leo uko wapi na bado....
Hii ndo TZ na sisi ndo wenye nchi....UTAKOMA.
Alialikwa tu,kulikuwa na Blah Blah zao za Lawalikuwa vice chancellor?
Alialikwa tu,kulikuwa na Blah Blah zao za Law
hahahaaaaaaa! madaraka hayaaaaaaaaa.Huyu jamaa mara ya kwanza kumuona ilikuwa miaka ya 2000 katikati kulikuwa na shughuli fulani RUCO ana mikwara ya kitoto na kujisikia kama amesahau nitakuja mkumbusha namnukuu "Nina uwezo wa kufukuza yeyote hapa,ingawa hapa si mahakamani lakini uwezo huo ninao....."mkuu leo uko wapi na bado....
Hii ndo TZ na sisi ndo wenye nchi....UTAKOMA.
Chenge/Tibaijuka wamelamba 1.6m,unadhani Muhongo na huyu jamaa wamelamba ngapi?,....zilijaa fuso.
1.6bn/=Tsh mkuu na sio 1.6mil/=Tshs.
Ok mkuu nimelekebisha...