NDI NDI NDI
Senior Member
- May 30, 2016
- 123
- 95
Kweli kbs mkuu,mi enzi ya ukapera wangu niliwahi kuchukua changu pale Jolly Club,siku ya pili yake nikaenda kuchukua hela benki wakati huo hamna ATM,kufika kwa teller ni yule dada changu nikachoka!nikamsalimia akanikumbuka.so ubaamedi ni kazi km kazi nyingine,nao pia wanapendwa na kupenda.Anaweza kuwa ana kupenda kweli koz huo ubar maid ni kazi kama kazi zingine japo wengi huwa tuna zichukia kuwa ni kazi za watu flani wasio na nidhamu ila huyo mdada anaweza kuwa ni mtu ana jiheshimu vizuri tu
Hahaha haya mkuu ngoja tuvute subira.subiri mzinga wa kulipa kodi ya nyumba
Anza wewe kufanya utafiti,then niUngefanya na ww utafiti wako kisha ndo ungeandika hivyo.umalaya ni hulka ya mtu....wapo mabaamedi wengi wanaeshimu kazi yao na wanaishi maisha mazuri na so wahuni,km mleta uzi hapo kasema wanaenda kwake kulala sasa huyo halali ghetto,kuna wadada huku maofisini wana degree zao lkn washapitiwa wanaume zaidi ya kumi ktk ofc moja,bado huko mitaani!
wewe sio wote wenye akili km zako za kukumbuka kingaacha hizo mkuu wengi tuu wanajiheshim Ile ni kaz kama kazi nyingine pia ukimchukua barmed huwez piga kavu pia huwez kukubal dry hata siku moja mkuu wenye ngoma ni wanafunzi maana utasema huyu mdogo hajaukwaa unapiga dry unaukwaa
Ahsante mkuu..una bahati sana, hongera
Acha kudharau watu.Anza wewe kufanya utafiti,then ni
wewe sio wote wenye akili km zako za kukumbuka kinga
Bila shaka ww utakuwa ni Mshauri wa masuala ya mahusiano na Mtaalam wa saikolojia piaAnakupenda mno mkuu, anakuhusudu haswaa! Nawe mpende zaidi ya hapo. Mpe support yako sana katika kazi yake ngumu na yenye changamoto nyingi.
Hebu pia jaribu kuongelea namna mnavyoweza kubadili kazi, mpate hata mtaji na kufanya ujasiriamali. Hii yote itakuwezesha kulala kwa wakati na kuamka ukiwa hujachoka sana. Mjali sana Mtoto wake na mtunze vema. Kumbuka mkifanikiwa kuzaa atamtunza pia mwanao. Kuna mdau hapo kagusia suala la kupima afya zenu. Hili la muhimu sana. Ili sasa kama mmepata maambukizi (sio lazima awe yeye kakuambukiza) mjue namna ya kuishi kwa matumaini.
Hongera sana mkuu kwa namna ulivyojitoa, wapo jamaa wengi tu ambao walienda bar kama kuopoa watu wa kupooza tu lakini hadi sasa wanaishi vizuri kabisa kwa utulivu.
Acha dharau wanawake wenzio hao.Duh huna kinyaa wewe barmed,aisee i wsh ungesoma makala waliyoitoa kweny gazet la mwananchi jins mabarmed wanavyoishi naona ungejiogopa mwenyew kabla ht ujapima afya yako
Ndo nani huyo...?Mwekezaji kutoka Djibouti naona unakula tax free period kabla hujaanza kulipa kodi rasmi
Hao wanawatisha watu wenyewe ukiwauliza mara ya mwisho kupima utastaajabu...JF kwa kutisha watu hahaaaaa km alikua hafikirii kupima ngoma,am sure baada ya kusoma hii topic yake,anaona kaburi lile hahaaaa
Mada za fesibuku zinafurika kwa kasi JFHabarini za kazi wakuu,
Ni hivi kuna baamedi mmoja hivi nilimtokea siku za hivi karibuni na mambo ikatiki nikamgegeda siku ileile na mara nyingi zaidi huwa anapenda niende kwake kwani anadai hana mpenzi mwingine kabisa zaidi yangu na ikumbukwe tayari ana mtoto mmoja.
Sasa tatizo nikimnunulia hata vinywaji hataki nikigegeda nikimpa hata za sabuni hataki yaani kazi yake amenifanya mimi kama sexy machine tu. Anataka nimpande kila siku yeye ndo anihonge vinywaji na hela huku akidai ananipenda sana. Imeshakuwa shida sasa kulala saa 9 kuamka saa moja kwenda job na uchovu mwingi halafu yeye anadai eti ananipenda.
Ebu niambieni wakuu manake nisipoenda kwake kesho ni ugomvi hadi baa nzima washajua nagongaga ananipenda au ana kijidudu kinamuwashaga anataka niaribia tu kazi.
Fesibuku ndo nini mkuu? Hebu nitoe uki*laza kidogo.Mada za fesibuku zinafurika kwa kasi JF