Hii habari imenistua, kwani na mimi ni mfanya biashara ya samaki. Are you talking about me?. Uwiii ntaua mtu leo!.
mbona hizi thread za wanaume kutotoa hela leo zimezidi jamani ?hii ni ya nne naona
mbona wanaume wamekuwa bahili hivi jmani?
Tusipotoa kwako ujue tunatoa kwa mwingine!mbona hizi thread za wanaume kutotoa hela leo zimezidi jamani ?hii ni ya nne naona
mbona wanaume wamekuwa bahili hivi jmani?
mbona hizi thread za wanaume kutotoa hela leo zimezidi jamani ?hii ni ya nne naona
mbona wanaume wamekuwa bahili hivi jmani?
yanini kumpapatikia m2 kama hana taim na wewe kula vitu mama kama umepata anaye kufaa
ni kweli! mambo mengiTusipotoa kwako ujue tunatoa kwa mwingine!
Yericko Nyerere ,unadhani jambo hili halina mafunzo?
"
Umezoea kila kitu kutafuniwa ili ujue cha kufanya.
"
Unadhani hapo hakuna cha kuchangia?
"
Au unataka mpaka niseme "sijui niwashauri nini hawa watu"?
"
Hapa JF unaweza kujifunza bila kuchangia au ukafanya vyote kwa pamoja.
"
Mambo mengine ni kujifunza na kutoa maoni,au unafanya kitu kimoja inatosha.
"
Mazoea yanatusumbua sana!
Kwani mwanamke mwenye watoto sio mwanamke?
Smile mdogo wangu siku hizi haki sawa kwa wote.alafu kibaya zaidi hali imekuwa ngumu jamani loh weee acha sio kwamba hawatoi tatizo hali ya uchumi na kipato cha mtu.Msitusingizie hatutoi hela dah mambo yanakwama kwa siku hizi.mbona hizi thread za wanaume kutotoa hela leo zimezidi jamani ?hii ni ya nne naona
mbona wanaume wamekuwa bahili hivi jmani?
sio wote sisi wengine mbona tunatoa.hata leo nimeacha 1200 yumbani na nikirudi narudi na nanasi zima!mbona hizi thread za wanaume kutotoa hela leo zimezidi jamani ?hii ni ya nne naona
mbona wanaume wamekuwa bahili hivi jmani?