Huyu atakuwa bibi

Kwahiyo huo mchezo wanaoucheza hapo hauna madhara sio? Lazima utakuwa babu wewe.
Hufai kuwa mzazi mtoto anatakiwa acheze michezo 468 kwa siku ndiyo utajua kama ana afya njema.
Kamwe usimzuie mtoto kucheza ili mradi mchezo hauna madhara kama hapo kupanda ngazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bi Mkubwa alkuw ananikata jcho fulani hivi ambalo linakuw na summary yote y kipgo anachokiandaa moyon
 
Nakumbuka tulining'inia hivyo tukakata bawaba[emoji3][emoji3][emoji3]. Aisee tulipata taabu sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…