Huyu ni wale mabibi wanaolea wajukuu wao Coz waliwambia watoto wao wa kike "zaeni tu mm ntalea"Huyu atakuwa ni bibi sio mama wa hawa watotoView attachment 1058127
Sent using Jamii Forums mobile app
Thubutu yake... huyu wangu nimetoka mtia kibao mpaka mwenyewe nimemuonea huruma ila yeye anacheka
Hufai kuwa mzazi mtoto anatakiwa acheze michezo 468 kwa siku ndiyo utajua kama ana afya njema.
Ni kweli ila bibi kawapenda zaidiHufai kuwa mzazi mtoto anatakiwa acheze michezo 468 kwa siku ndiyo utajua kama ana afya njema.
Kamwe usimzuie mtoto kucheza ili mradi mchezo hauna madhara kama hapo kupanda ngazi