Huyu atadumaa tu


Lovebird

Lovebird

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2012
Messages
2,510
Likes
313
Points
180
Lovebird

Lovebird

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2012
2,510 313 180
A. Kaka katoto kamoja tu mpaka sasaa.......
K. ehheee.....
A. huyu atacheza na naniii si atadumaaa...anahitaji mwenzie wa kucheza naeeee......
K. hayakuhusu...
A. lazima kuna jambooooo

Je kuna uhusiano wowote wa idadi ya watoto katika familia na mtizamo (chanya/hasi wa jamii)?
 

Forum statistics

Threads 1,252,114
Members 481,989
Posts 29,795,876