Kusini kuchele
Senior Member
- May 21, 2023
- 129
- 733
Kumuelewa Askofu lazima uwe na D mbili, bahati mbaya huna ndio maana! unataka kumlinganisha Askofu na mwalimu wa madrasa!Nimesikiliza sana ila sijaelewa, nikasema pia na machapisho bado sijaelewa... means waendelee kuandamana au kudai vipi? Wapi? Tuseme Leo askofu amekuwa disappointed kwa watu kutoandamana? 🤔Tuendelee kutafakari lengo lao, huku papa anasema msitumie dini.... 🙌
ASKOFU AWAHIMIZA WAKRISTO KUDAI HAKI
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi, amewahimiza Wakristo kuwa wadau wa haki akisisitiza kuwa “hakuna amani ya kudumu bila haki.”
Akihubiri wakati wa mkesha wa Krismasi, Askofu Ruwa’ichi alisema, “Sisi sote kwa nguvu ya ubatizo wetu tunaitwa tuwe watu wa haki… haki ni kutambua mastahili ya wengine na kuyaheshimu.”
Aliwakumbusha waumini kujitathmini kwa kuuliza, “Ewe mwana wa Dar es Salaam, ewe Mtanzania, je wewe ni mtu wa haki?”
#MerryChristmasEveryone
Amani huja baada ya mtu kupata Haki yake...mbona hilo liko wazi kabisa!?Ewe mwana wa Dar es Salaam, ewe Mtanzania, je wewe ni mtu wa haki?”
wenye D 2 tumeshamuelewa, wewe wahi madrasa ukaeleweshe kwa nyuma nyumaAskofu kutokueleweka ni shida kubwa, yafaa avuliwe uaskofu
Matusi tuachewenye D 2 tumeshamuelewa, wewe wahi madrasa ukaeleweshe kwa nyuma nyuma
Chaka lenu la kujificha hili. Mngekuwa na akili za kweli msingeabudia picha ya mwigizaji wa kizungu. Mngeweka hata sanamu la Kanumba bora.Kumuelewa Askofu lazima uwe na D mbili, bahati mbaya huna ndio maana! unataka kumlinganisha Askofu na mwalimu wa madrasa!
Kwa hiyo anaowahudumia wote Wana D mbili? Au nikuletee wakatoliki ambao hata shule hawakwenda?Kumuelewa Askofu lazima uwe na D mbili, bahati mbaya huna ndio maana! unataka kumlinganisha Askofu na mwalimu wa madrasa!
Vp wale wasio na D mbili hawafai kuwa wakatoliki au siyo? Hili dini la waliotuletea utumwa wabaguzi kwelikweliwenye D 2 tumeshamuelewa, wewe wahi madrasa ukaeleweshe kwa nyuma nyuma
Nimesikiliza sana ila sijaelewa, nikasema pia na machapisho bado sijaelewa... means waendelee kuandamana au kudai vipi? Wapi? Tuseme Leo askofu amekuwa disappointed kwa watu kutoandamana? 🤔Tuendelee kutafakari lengo lao, huku papa anasema msitumie dini.... 🙌
ASKOFU AWAHIMIZA WAKRISTO KUDAI HAKI
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddeus Ruwa’ichi, amewahimiza Wakristo kuwa wadau wa haki akisisitiza kuwa “hakuna amani ya kudumu bila haki.”
Akihubiri wakati wa mkesha wa Krismasi, Askofu Ruwa’ichi alisema, “Sisi sote kwa nguvu ya ubatizo wetu tunaitwa tuwe watu wa haki… haki ni kutambua mastahili ya wengine na kuyaheshimu.”
Aliwakumbusha waumini kujitathmini kwa kuuliza, “Ewe mwana wa Dar es Salaam, ewe Mtanzania, je wewe ni mtu wa haki?”
#MerryChristmasEveryone
Ni Askofu nilikuwa namkubali sana toka yupo Vatican miaka ya 1990s, hadi ana anza Uaskofu jimbo la Mbulu, then Dodoma then Mwanza na sasa Dar es Salaam.Nimesikiliza sana ila sijaelewa, nikasema pia na machapisho bado sijaelewa... means waendelee kuandamana au kudai vipi? Wapi? Tuseme Leo askofu amekuwa disappointed kwa watu kutoandamana? 🤔Tuendelee kutafakari lengo lao, huku papa anasema msitumie dini.... 🙌