Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,329 33,139 Nov 27, 2012 #1 Hafai kuwa Askari huyu Mwanajeshi wa Kikongo ahhhhhhhhhhhh Yu-maji.................
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Nov 27, 2012 #2 Nadhani Usingizi/Ulabu Ndio Hauheshimu Kazi Yake
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Nov 27, 2012 #3 Naona amewalengeshea Vijana Kabisa, wakija wanapakua tu mzigo
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Nov 27, 2012 #4 amethubutu ameweza na Sakafu imemsongesha chini
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Nov 27, 2012 #5 Tatizo la Kukaa Miaka Mingi Bila Vita, hapo ana vita na Mbu tu!
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,510 28,416 Nov 27, 2012 #6 Halafu naona mtutu wa bunduki kauelekezea magogoni...
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Nov 27, 2012 #8 Naona kama hapo chini pameshalowa tayari
Ngalikihinja JF-Expert Member Sep 1, 2009 31,275 31,404 Nov 27, 2012 #9 hivi ukiingia baa na ukamkuta huyo kama alivyo, utaendelea kunywa kweli?
Chum Chang JF-Expert Member Apr 2, 2012 999 272 Nov 27, 2012 #10 Ndio Tanzania inataka kwenda kuwashikisha adabu na Warundi
Mama Mdogo JF-Expert Member Nov 21, 2007 2,961 2,138 Nov 27, 2012 #12 Anapitwa na hawa askari wa kike wa Kikongo: Attachments Mbombo Ngafu.jpg 172.6 KB · Views: 75
Mwanahisa JF-Expert Member Jun 29, 2012 1,382 510 Nov 27, 2012 #13 Hiyo bia ilichanganywa na Polonium au?
M mgolibene Member Apr 2, 2012 11 2 Nov 27, 2012 #14 Chum Chang said: Ndio Tanzania inataka kwenda kuwashikisha adabu na Warundi Click to expand... acha ujinga wewe nani aliyekuambia kwamba huyo ni askari wa Tz?
Chum Chang said: Ndio Tanzania inataka kwenda kuwashikisha adabu na Warundi Click to expand... acha ujinga wewe nani aliyekuambia kwamba huyo ni askari wa Tz?
mkada JF-Expert Member Nov 14, 2011 1,200 903 Nov 27, 2012 #15 huyu askari kaiva,pamoja na kulewa huko bunduki kaifunga kiunoni.huyu kweli ni soldier.
Emanuel Makofia JF-Expert Member Jan 5, 2010 3,832 630 Nov 27, 2012 #16 katulia kama hajui yuko kazini kaaaazi kweli kweli!:laser:
Chum Chang JF-Expert Member Apr 2, 2012 999 272 Nov 29, 2012 #17 By Chum Chang Ndio maana Tanzania inataka kwenda kuwashikisha adabu mgolibene said: acha ujinga wewe nani aliyekuambia kwamba huyo ni askari wa Tz? Click to expand... Kazi kweli kweli...usifikiri nami nitakuita mjinga kwa upumbavu ulio uwatindika
By Chum Chang Ndio maana Tanzania inataka kwenda kuwashikisha adabu mgolibene said: acha ujinga wewe nani aliyekuambia kwamba huyo ni askari wa Tz? Click to expand... Kazi kweli kweli...usifikiri nami nitakuita mjinga kwa upumbavu ulio uwatindika