Kaweke huo msimamo kwenye kikao cha Mbowe na genge lake uone kama utabakiKwa jinsi huyu askari shupavu alivyo simamia uadilifu mbele ya kikao cha ccm siamini kama yupo kazini.
Hawa ndio watu wanahitajika kufanya kazi ndani ya jeshi letu maana nidhamu na ujasili wa kulinda maadili...
Tena sanaHuyo jamaa wa ccm hana akili.
Huyo boya sijui Yuko bange au mtungi wa kupitiliza wanajisahau sana Hawa mazafakaKwa jinsi huyu askari shupavu alivyo simamia uadilifu mbele ya kikao cha ccm siamini kama yupo kazini.
Hawa ndio watu wanahitajika kufanya kazi ndani ya jeshi letu maana nidhamu na ujasili wa kulinda maadi..
Hahaha. FAM alikutioo...mbe...a Nini?? Mbona chuki?? Kalinde kaburi Kisha uende jandoKaweke huo msimamo kwenye kikao cha Mbowe na genge lake uone kama utabaki
Kwa jinsi huyu askari shupavu alivyo simamia uadilifu mbele ya kikao cha ccm siamini kama yupo kazini.
Hawa ndio watu wanahitajika kufanya kazi ndani ya jeshi letu maana nidhamu na ujasili wa kulinda maadili.
Tazameni alivyo simamia heshima ya jeshi lake la polis dhidi ya wahafidhina wa ccm.
Nampongeza sana huyu mpiganaji kwa kukataa kuburuzwa na wana siasa uchwara.View attachment 2636588
Wanajiona wao kuwa ndiyo kila kitu usishangae watu kama hao ndiyo wanakagua miradi ya serikali na kuwatishia wataalam kuwa watawafukuza kazi.Ila Tanzania ni failed state Yani MNEC anakuwa na kiburi mbele ya polisi. Eti anauliza anaitwa Nani na anacheo gani.
CCM ni kirusi hatari.. Eti unalipwa mshahara na chama gani!
Kaweke huo msimamo kwenye kikao cha Mbowe na genge lake uone kama utabaki