Huyu Askari Afikiriwe Kupandishwa Cheo!

Huyu Askari Afikiriwe Kupandishwa Cheo!

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
2,613
Reaction score
799
Askari waruwaru.jpg
Jamani huyu kamanda anastahili kupandishwa cheo!
 
Askari wa Jeshi la Congo huyu ... hawana discipline kabisa


attachment.php


 
teh teh...nimecheka sana mkuu na huu uzi maana nilichokikuta sikukitegemea...DRC noma
 
pichani wanaoimba sio Flora Mbasha na mumewe........?.....
 
Kha ha haaaaa! Huyu ni kati ya wale M23 lazima!
Waasi ni hatari jamani.
 
Mambo ya Wacongelese ni kiboko, yaani huwezi kuamini kama huyu Mjinga wa Wenge Musica anatukana waziwazi na watu wamelipa kuona upuuzi huo na wanashangilia/kucheza. Acha Kagame achukue Madini na wao washike Balls zao.




Aje huku amsaidie John Komba, maana naona CCM inakufa na TOT yake
 
Last edited by a moderator:
Duh huyu atakuwa feki....!

Mkuu siyo askari feki wala jakubumba, ni askari wa jeshi la Congo DR huyo. DRC kaka ni sayari ingine kabisa yaani kuna maisha fulani mzee huwezi tegemea kama kwa hapa duniani kuna watu wanaweza ishi vile, ila Congo ndo maisha yao ya kila siku eti.
 
Huyo ni askari wa kongo. Jeshi la kongo halikuwa na nidhamu kabisa ndio maana Rwanda na m23 walikuwa wanawatoa kamasi! TZ na South A walipoenda hivi karibuni ndio wamewafundisha nidhamu na kuwasaidia mapambano ndio mnaona wana advance. We askali yuko mstari wa mbele alikuwa anaiba silaha anaenda kumuuzia adui anayepigana nae!
 
Back
Top Bottom