Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
- Thread starter
-
- #21
Nilimwambia he must be having an affair na mtu mwingine akakataa, yeye ni mfanyabiashara na cko kifedha zaidi maana am also earning, I think u no wart am seyingduh..mdogo wangu Lily...hapo ina maana anakaa wapi hadi zipite wiki nne hamuonani?
na je anafanya kazi gani hadi imkeep busy kiasi hicho?
Hapo sie tunasema stuka...kama ulivostuka....kuna mwenzio mahali mahali,
Je wewe mapenzi yako kwake yakoje manake majuzi hapoa alikuwepo dada yetu anadai yeye anataka tu kulipiwa bili zake na the so called BF!
kama unaona vipi anakupotezea muda mwache wewe formally ijapokuwa atakuwa ameshakuacha informally just by his actions
Mbona wewe unao wengine wawili au unataka kuandika historia?sikiliza mama!
hata kabla hujaambiwa IT'S OVER just come to me!itakusaidia kupunguza stress!.....😀
ni kweli mkuu!
lakini hiyo ya miaka miwili bila ku-do SIO WANAWAKE WA SASA!hawataelewa kwakweli
wawili?????!.....Mbona wewe unao wengine wawili au unataka kuandika historia?
Nilimwambia he must be having an affair na mtu mwingine akakataa, yeye ni mfanyabiashara na cko kifedha zaidi maana am also earning, I think u no wart am seying
Tulipendana mno, ndio hivyo mwenzangu ananifanyia vimbwanga na kwanini hataki kuniambia its OVA, kwani kuna ubaya tukiaachana kwa usalama??
Edo, nimeshamfuatilia kwa ukaribu sana, kweli ubusy ni wa kawaida lakini huu ubusy hata usiku jamani, hapo mwanzo alikuwa anauwezo wakuja nyumbani hata saa sita uskiu na alishazea kufanya hivyo sasa ghafla bin vuu mambo yabadilike, its not possible.Nadhani kosa moja ni la kumwambia/kumtaka "akuambie kama basi". Hili linakera saaaaana midume mingi nami ni mmoja wapo-Inawezekana aka-conclude kuwa wewe huna shida naye tena na akazidi kujongomea (sina hakika kama ulipita JKT enzi za mwalimu, unaweza usielewe neno hili). Lakini, mtu kakwambia yuko busy-wewe umefanya homework hata kidogo tu ya kuhakiki hicho anachosema kwamba kazi zimemzidi kweli?. Unaweza kukuta kapanda cheo majukumu yameongezeka, wewe unalalamika tu !
kuna jamaa mmoja ni so decent!amekufa vibaya kwa kidem dem cha chuo!hicho kijidem wakati kiko sekondari kilikuwa kijanamke cha MATUKIO(mitungo,mande,mapenzi darasani,librari,mara kikafumaniwa mara hivi mara vile) kwa kifupi kimezoea ku-do!Ni heri wasielewe kuliko kuuziwa mbuzi kibudu kwenye gunia! Mwanamke aliyeshawahi kumegwa akae miaka miwili bila kumegwa? Over my dead body! Ngoja nikamuulize bibi, nilisahau kumuuliza hili nilipokuwa vekesheni.
Hapana Mpwa Fidel hivyo vyote bado.Ningeomba kujua ulisha mpa chakula kile chakula bila kunawa?
Yaani ulisha mpa jamaa aka mega na kujiexpress jibu kwanza ndipo tuendelee.
Tatizo anapenda sana kujiexpress!
kuna jamaa mmoja ni so decent!amekufa vibaya kwa kidem dem cha chuo!hicho kijidem wakati kiko sekondari kilikuwa kijanamke cha MATUKIO(mitungo,mande,mapenzi darasani,librari,mara kikafumaniwa mara hivi mara vile) kwa kifupi kimezoea ku-do!
sasa jamaa hataki ku-do sasa.ana theory yake NO SEX BEFORE MARRIAGE!kidem kimetangaza ku-mmwaga jamaa.na jamaa yupo well-off.kinalalama kwamba imefikia muda hakiwezi kuendelea kusubiri!KIUNO KIMEKAZA ANASEMA😀
Kaka huyo nitamweza kweli?Hehehe! Dada si umeona mwenyewe? Hiyo blue hapo si ni past tense hiyo? We mwenyewe umekiri hapo! Its over then! LOL! Ngoja nikufanzie mpango kuna jamaa amepanga kuweka ndani kifaa ifikapo 2012. Tatizo anapenda sana kujiexpress!
KWA HIYO JAMAA hajakumega kabisaaaa???????Hapana Mpwa Fidel hivyo vyote bado.
Hapana Mpwa Fidel hivyo vyote bado.
Hapana Mpwa Fidel hivyo vyote bado.
Kaka huyo nitamweza kweli?
ha ha ha ha ha ha!Hehehe! Umekula Senksi hapo! Kiuno kukaza sio? Kinataka n'chale wa n'jomba? Nimekumbuka sredi ya wanaume kukata kiuno! Kiuno anakata mwanamke bana! Na kukaa miaka miwili bila kukikata ni lazima kikaze! Ulizeni!