Huyu naye anadai ana uwezo wa kuitoa Tanzania hapa ilipo!!!
View attachment 190300
kwanini asishangilie, wakati kapiga hela ya kutosha.
Kwani tatizo hapo ni nini?
Kilichomfanya kukata mauno ni kipengele cha Mbunge kutokuwa na elimu,Huyu naye anadai ana uwezo wa kuitoa Tanzania hapa ilipo!!!
View attachment 190300
Kwani tatizo hapo ni nini?
Kilichomfanya kukata mauno ni kipengele cha Mbunge kutokuwa na elimu,
Sanga ameishia darasa la saba.