Huyu ana mapenzi na mwanae kweli?

Nimekuwa baba wa watoto wako au watoto au wa nani....??....acha vitu vya kuhisi hisi.
 
Usidharau kidogo cha mwenzio, inawezekana hiyo 30,000/ ndiyo jasho lake lote la mwezi limeishia hapo.

Wengine wanatoaga Tshs ngapi vile. Kila siku tuanasikia ,malalamiko tena wanaume wenye vipato kabisa hawatoi hata THS 1! Kazi tu baadae mtoto akifanikiwa kwenda kuwaghasi watoto wao. Wanaume wenye tabia hii badilikeni sio ooh nitamlaani mtoto ohh baba ni baba hata kama hajakutumza hapana imetosha badilikeni!
 
Unaweza kukuta jamaa ndo katoa yooote mpaka nauli ya kwenda kumwona mtoto anakosa..., nadhani mama wa mtoto inabidi afanye analysis ya mwenendo wa huyo jamaa kabla hajatumia maoni ya wana MMU kuamua chochote..., tunaamini yeye anajua kuliko sisi
 
Kwa haya maelezo zako jamaa hana mapenzi ya dhati na mwanae, Over.
 
'nauli ni elfu 6 tu kutoka kwa jamaa mpaka kwao' hiyo ni nauli ya ndege (flight) huku kenya
 
Kwani lazima amuone kama kabanwa na majukumu je??....mtu mpaka amekubali kumhudumia mtoto ina maana anamjali.....wewe unataka atoroke kazini alafu hiyo hela ya matumizi utaipata vipi???......acheni hizo bwanaa

duuh wewe utakua ulishafanyaga hichi kitenzi.. hata weekends, or likizo huombi kwenda kumuona mwanao physically? ungekua upo marekani hapo sawa lakini same country.. its unbearable kwa kweli. just reason tuu mwenyew.
 
Sijawahi kufanya hicho kitenzi kama unavyonidhania....
 
Unaweza kukuta jamaa ndo katoa yooote mpaka nauli ya kwenda kumwona mtoto anakosa..., nadhani mama wa mtoto inabidi afanye analysis ya mwenendo wa huyo jamaa kabla hajatumia maoni ya wana MMU kuamua chochote..., tunaamini yeye anajua kuliko sisi

mshahara wa jamaa ni laki 7 kwa mwezi na anaduka la dawa kubwa tu.
 
Elfu 30000 ndio takataka gani??????????
Hakuna mwanaume hapo wala mtu anayestahili kuitwa baba,
naona kuna :msela:na:majani7: tu hapo
sheria ya nchi inatamka shilingi mia kwa mwezi kwa ajili ya matunzo so jamaa naona kafanya uungwana
 
mshahara wa jamaa ni laki 7 kwa mwezi na anaduka la dawa kubwa tu.

kwa maana hiyo hajaonana hata na mzazi mwenzie kwa kipindi chote hicho?

Je mahusiano yao ( kama sio wewe) yakoje (mwanaume na mwanamke)?
 
huwenda mimba hakuitaka,.alilazimishiwa tuu
Hata hvyo kumtambua mtoto kama niwake nakudonate chochote yatosha Sana,.
Wadada wakijjn bhana waskuone unachanzo hata kidogo chamapato tuu umekwisha..atataka akutengenezee mazingira yakumuoa hatakama hujajiandaa kwahlo,.
Ndohayo yakumzalia mtu ukitaraj mtoto ndio ticket ya ndoa..jamaa nae amesoma alama zanyakat kaona mzigo tuu huo,.
Note:ukizaa uwe umejiandaa nayote.
 
sheria ya nchi inatamka shilingi mia kwa mwezi kwa ajili ya matunzo so jamaa naona kafanya uungwana

Sijazungumzia takataka hela kuwa inatosha au haitoshi, ninachomaanisha huyo mwanaume mchafuzi asiyejua maana ya mtoto no mpuuzi.
 
Hizo zote ni akili za kitoto, unawezaje kuwa na mahusiano ikiwa hutaki kuzaa, kwani mmeambiwa watoto wa wenzenu ni wakuwastarehesha. ukipenda starehe penda na majukumu
Huyo mwanaume ni mpuuzi tu, hata kama hataki ndio ashindwe hata kwenda kumuona mtoto????????
 
mapenzi yanaisha mamaa,.
Anaogopa akimuona watapasha kiporo😂😁😁
 
kukubal mtoto na kutuma iyo30000 inatoshaa kabisaa tatizoo wanawake wa sikuu hizii.. ukizaa nae tu anatakaa umuoee hahaha mtoto na ndoaa ni two things tofaut
 
Sema baadhi ya wanawake usiseme wanawake wote maana na mama aliyekuzaa unamchanganya humo humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…