happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
Elfu 30000 ndio takataka gani??????????
Duuhh jamani wakati mwingine ni vizuri kujiuliza input output ratio imekaaje. Yule Mwl Mwema aka Messiah alimpongeza mama mmoja kwamba katoa kingi kuzidi wote japo alichotoa kilikuwa kidogo kuliko wote.Elfu 30000 ndio takataka gani??????????Hakuna mwanaume hapo wala mtu anayestahili kuitwa baba,naona kuna :msela:na:majani7: tu hapo
bint kazaa na jamaa mtoto,,, wanaishi mikoa tofauti na umbal huo nauli ni elfu 6 tu kutoka kwa jamaa mpaka kwao na bint jamaa tangu mtoto azaliwe mpaka leo anamiezi 6 hajawai muona yaan hamjui kabisa mtoto.. matumiz hutoa elf 30 per mwez vizuri tu.... huyu anamapenz na mwanae kweli au!!!
Elfu 30000 ndio takataka gani??????????
Usidharau kidogo cha mwenzio, inawezekana hiyo 30,000/ ndiyo jasho lake lote la mwezi limeishia hapo.
Je unafahamu makubaliano ya hao watu wawili juu ya mtoto huyo?
Alafu wanawake bwana hivi kwanini mnakosa shukrani nyie viumbe....mtu anahangaika huko ili amtunze mwanae na kila mwezi anajibana anatuma hela ya matumizi kulingana na uwezo wake bado mnamuona hampendi mwanae....wewe unaona miezi sita mingi sana watu wanakaa mpaka mwaka hawajawaona watoto wao lakini bado wanakea.....kuna wengine wametelekezwa kabisa bila hata ya kupata hata senti tano....mnataka mtu akae nyumbani muangaliane sura alafu mwisho wa siku unadai matumizi ya mtoto....ndio maana muda mwingine watu wanaamua kuwakimbia tu kwa kukosa kwenu shukrani...mtu anajituma kwa kadri ya uwezo wake lakini bado tu mtu anakuona huna maana......PAMBAFFFFF.....
Kwani lazima amuone kama kabanwa na majukumu je??....mtu mpaka amekubali kumhudumia mtoto ina maana anamjali.....wewe unataka atoroke kazini alafu hiyo hela ya matumizi utaipata vipi???......acheni hizo bwanaainawezekana kwel mtu akakaa hata miaka mitano...lakini fikiria mtoto tangu kazaliwa hamjui sura na jamaa huwa anaenda mkoa huo huo kisemina anakaa hata wiki au anaenda mkoa mwingine anapita mkoa huo alipo mwanae anaenda jiran na mkoa huo anakaa hata mwezi kweli ni ubusy kweli huo mwanao tangu kazaliwa haumjui??
Umekulia mjini au kijijini bi mkubwa?
Je unafahamu maisha ya kijijini?
Duuhh jamani wakati mwingine ni vizuri kujiuliza input output ratio imekaaje. Yule Mwl Mwema aka Messiah alimpongeza mama mmoja kwamba katoa kingi kuzidi wote japo alichotoa kilikuwa kidogo kuliko wote.
Usidharau kidogo cha mwenzio, inawezekana hiyo 30,000/ ndiyo jasho lake lote la mwezi limeishia hapo.
jamaa anauwezo tu ni doctor pia ana duka kubwa tu la dawa
Kwani lazima amuone kama kabanwa na majukumu je??....mtu mpaka amekubali kumhudumia mtoto ina maana anamjali.....wewe unataka atoroke kazini alafu hiyo hela ya matumizi utaipata vipi???......acheni hizo bwanaa