Huyu amri kutoka juu anakanyaga katiba atakavyo

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Huyu amri kutoka juu anakanyaga katiba atakavyo jina lake anaitwa nani?huyu mtu anajua baba wa taifa alisemaje kuhusu kiongozi kuheshimu katiba?
Je anajua mwalimu alisema umuhimu gani kuhusu kuheshimu katiba?kweli huyu amri kutoka juu ni zaidi ya katiba na sheria na nchi hii ni kiboka ya watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…