GeoMex JF-Expert Member Joined Jan 10, 2014 Posts 5,430 Reaction score 20,063 Dec 10, 2014 #2 Hahaaaa mi ningempa kipepsi mpaka arambe vumbi. Mambo gani hayo tena?
everlenk JF-Expert Member Joined Oct 5, 2012 Posts 11,628 Reaction score 15,037 Dec 10, 2014 #3 Hahahaha!! Huyu si riziki.....
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,364 Reaction score 13,468 Dec 10, 2014 #4 Huyo ni chakla ya mombasa
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,105 Dec 10, 2014 #5 Abiria yupo mzima wa afya,ila dereva bodaboda amelazwa.
Muyagha JF-Expert Member Joined Nov 29, 2014 Posts 234 Reaction score 205 Dec 10, 2014 #6 First time juu ya boda boda kizungu zunga kitupu .. . mumsamehe bure .....
B Balile Member Joined Oct 10, 2011 Posts 75 Reaction score 140 Dec 10, 2014 #7 Mwendesha pikipiki ataipata taarifa baada ya kumshusha
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Dec 10, 2014 #8 Kiazi ....
D daniel lufumbula Senior Member Joined Oct 30, 2014 Posts 107 Reaction score 180 Dec 10, 2014 #9 Lakini s ndo sheria ya abilia kumshika dreva hivyo? Mi naona hajakosea
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Dec 10, 2014 #10 daniel lufumbula said: Lakini s ndo sheria ya abilia kumshika dreva hivyo? Mi naona hajakosea Click to expand... Huyu uhitaji maelezo, amezidi kajilegeza mno na kidevu amekiegesha kwenye bega la mwendesha chombo. Na ushikaji wake w akihisia hisia
daniel lufumbula said: Lakini s ndo sheria ya abilia kumshika dreva hivyo? Mi naona hajakosea Click to expand... Huyu uhitaji maelezo, amezidi kajilegeza mno na kidevu amekiegesha kwenye bega la mwendesha chombo. Na ushikaji wake w akihisia hisia
Mwifyusi Senior Member Joined Sep 13, 2014 Posts 169 Reaction score 68 Dec 10, 2014 #11 Hahahaha anaogopa kuanguka huyo...
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Dec 10, 2014 Thread starter #12 HARUFU said: Huyu uhitaji maelezo, amezidi kajilegeza mno na kidevu amekiegesha kwenye bega la mwendesha chombo. Na ushikaji wake w akihisia hisia Click to expand... Hata abiria wanawake wenye huwa hawajilegezi namna hiyo.
HARUFU said: Huyu uhitaji maelezo, amezidi kajilegeza mno na kidevu amekiegesha kwenye bega la mwendesha chombo. Na ushikaji wake w akihisia hisia Click to expand... Hata abiria wanawake wenye huwa hawajilegezi namna hiyo.
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 5,964 Reaction score 7,863 Dec 10, 2014 #13 Hapo kashaa kula viroba vya kutosha full manyota tu!
K kamagetac JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 2,479 Reaction score 644 Dec 10, 2014 #14 Abiriaaaaaaaaaaa.............................
Obe Platinum Member Joined Dec 31, 2007 Posts 10,341 Reaction score 35,914 Dec 10, 2014 #15 Huyu ni mzima kabisa, huoni kafunga mkanda! Wewe unayemwangalia ndo umepatwa ashk majunun
Khantwe JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 62,101 Reaction score 127,854 Dec 10, 2014 #16 Anadeka kwa dereva wake
M Manyunchwi JF-Expert Member Joined May 11, 2013 Posts 431 Reaction score 150 Dec 10, 2014 #17 Ashk Majinuni
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,404 Reaction score 29,811 Dec 11, 2014 #18 Dume haliwezi nishika hivyo, ningempiga kichwa kwenye kisigino...!