Huyoo amepita


Mkuu ukichukulia kila kitu serious utaishia kutoa maneno kama haya badala ya kutoa mafunzo, hiyo picha imetolewa kama katuni flani na sidhani kama kuna mtu ana amini kwamba ngamia unaweza ukamshika kwa vidole, kupitia hiyo picha ndio ikazaa comment kibao ambazo kama utakuwa umezisoma utakuwa umepata picha flani na ndio maana kila mtu ana comment kutokana na uelewa wake na mwisho wa siku ukichanganya na comment za wengine unatoka na kitu kizima nashangaa unakuja na maneno ya kukatisha tamaa yaani kama mwalimu tayari wanafunzi wataogopa kuendelea ku-argue kutokana na vile wanavyoelewa na ndio maana kuna wengine wametufungua macho kwa kusema kwamba ni kamba ya meli (kwa kuwa wengi ni wakristo jina tunaka wajuzi wa mambo watiririke badala yake mnatoa kejeli tena badala ya kutoa nondo)
 


Kwani ukiona camel kwa kiingereza ndo ngamia?

Tafsiri zote za camel zipo hapo juu mkuu ndo maana nikaangalia kote kote maana huwa napenda kuelewa ndio maana nikaangalia kwa tafsiri zote za kithuungu na kiswazi (kwa kithuungu naona hiyo maana ya pili kidogo kama napata ukakkasi kuielewa vile), sikubishii mkuu mie nipo katika kusaka maarifa tu hivyo usinielewe vibaya na ndio maana hata comment zangu za mwanzo nilifunguka kwa watumishi wa mungu kuja kutupa maarifa maana wengine ni wepesi sana ila tunapenda kujifunza

Camel na tafsiri mbili;

1. a large, long-necked ungulate mammal of arid country, with long slender legs, broad cushioned feet, and either one or two humps on the back

2. an apparatus for raising a sunken ship, consisting of one or more watertight chests to provide buoyancy.
 

Usijali ni maandishi tu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…