Ni wako tu hata kama alikula nyama za kila bucha mjini. Kama ni wako atatulia na nanasi utalikuta lina utamu wake kama halijawahi kuonjwa! Ila kama sio wako, hata ukifungua mwenyewe kutoka kwenye box, baada ya muda mfupi utabwaga manyanga ukatafute manungayembe barabarani.